LULU MAWIGI YANATUZEESHA JAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfa8UH71npBarHEI97luvHCmXtdQorwGfFpFNpx9ud62E7eY4-VSj9RBQNJBT6wBO1Vu9uP4NuZVdmokABmLMGkb/LULU.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa, mawigi wanayovaa mastaa mbalimbali akiwemo yeye, yanawazeesha sura na kuonekana wakubwa kupita kiasi kumbe sivyo ilivyo. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Lulu alisema, mara nyingi mastaa wanapenda kujaza mawigi makubwa kichwani mwao lakini kiukweli wakiondoa mawingi hayo na kusuka hata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytrtM8RXH9aHy3qbcYA-pnQP4eRCsMIDotsK7Cv6-OujV-C2en28iQ38cf-5X3W-Ssob2ZI4RGQgstvZdL2wRZp8/BACK.jpg?width=650)
LULU: NIHURUMIENI JAMANI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW6381v15yss5zaL0dWnM9CtaxRe5mIudDRRuyno9wYZLvbRZBM2Li0HIMZcfzZWyHi*em4*2TnjVcwBjheeVxov/lulu.jpg?width=650)
BAADA YA KUTOKA LUPANGO JAMANI LULU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTEUe7oFKX5t-pdIEZF5nuoqEERKKSr1qymdsMxzNYqecbHn9pbYyk-3nydqXV*fgcqm4LA1LFofltpGW4wnfQ3G/1sswde.jpg?width=650)
LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Kifo cha Kapt Komba: Nihurumieni Jamani!-Lulu
Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni John Komba , mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa , Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.
Habari kutoka kwa chanzo chao makini ambacho ni mtu wa...
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
10 years ago
GPLMARY MAWIGI AJIFUNGUA KIDUME KWA KISU
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...