BAADA YA KUTOKA LUPANGO JAMANI LULU!
![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW6381v15yss5zaL0dWnM9CtaxRe5mIudDRRuyno9wYZLvbRZBM2Li0HIMZcfzZWyHi*em4*2TnjVcwBjheeVxov/lulu.jpg?width=650)
Stori: Waandishi Wetu HABARI ya mjini hivi sasa ni kuhusu bifu linalotembea chini kwa chini kati ya nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kumchefua vilivyo dada yake wa hiyari, Rose Alphonce Nungu ‘Muna’. Nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Muna ni kati ya watu muhimu waliomsaidia Lulu tangu akiwa nyuma ya nondo, katika Gereza la Segerea baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytrtM8RXH9aHy3qbcYA-pnQP4eRCsMIDotsK7Cv6-OujV-C2en28iQ38cf-5X3W-Ssob2ZI4RGQgstvZdL2wRZp8/BACK.jpg?width=650)
LULU: NIHURUMIENI JAMANI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfa8UH71npBarHEI97luvHCmXtdQorwGfFpFNpx9ud62E7eY4-VSj9RBQNJBT6wBO1Vu9uP4NuZVdmokABmLMGkb/LULU.jpg?width=650)
LULU MAWIGI YANATUZEESHA JAMANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTEUe7oFKX5t-pdIEZF5nuoqEERKKSr1qymdsMxzNYqecbHn9pbYyk-3nydqXV*fgcqm4LA1LFofltpGW4wnfQ3G/1sswde.jpg?width=650)
LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Kifo cha Kapt Komba: Nihurumieni Jamani!-Lulu
Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni John Komba , mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa , Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.
Habari kutoka kwa chanzo chao makini ambacho ni mtu wa...
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Picha: Lulu Arudi Mzigoni Baada ya Kuadimika
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa muda sasa hajaonekana mbele ya kamera za kurekodi movies, leo kupitia ukurasa wake mtandaoni ame-share nasi picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni waki-shoot Movie huku akionekana mwenye nguvu na furaha.
“Back to Work...Doing wat I always Do Best..! On Set", Lulu aliandika kwenye picha hiyo.
Hongera saba Lulu kwa kurudi kazini, mashabiki wako naamni wamefarijika na hii
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Baada ya Ile na Lulu Sasa ni Hii ya Wema na Idris
Kweli umbea ndio unaendesha mitandao ya kijamii hapa Bongo.Baada ya ile picha ya zamani ya muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu akiwa na mshindi wa BBA 2014, Idris, kupewa vichwa vya habari kuwa mwandada Lulu ameamua kujiweka au kuandaa mazingira ya kuwa karibu na mshindi huyo ili wazipukutishe DOLLAR, eti kisa Lulu aliweka picha hiyo mtandaoni nawatu bila kujiuliza mara mbili wamekuwa wa kiachia comment za ajabu ajabu.
Muda huu tena imeibuka picha hii nayo pia ni yazamani, ya muigizaji...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeFs68z8qSVYtQ6VJJcAy*51*CntTAsyoxa-N*Ew0Mwe20aJ-kUidSW5GNEcvuLOl1*wg-XQLLCh*agexb2OL3gB/lulu.png?width=650)
ALICHOKISEMA LULU BAADA YA ALI KIBA KUACHIA NYIMBO MPYA