LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTEUe7oFKX5t-pdIEZF5nuoqEERKKSr1qymdsMxzNYqecbHn9pbYyk-3nydqXV*fgcqm4LA1LFofltpGW4wnfQ3G/1sswde.jpg?width=650)
WAANDISHI WETU MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea, Amani linakujuza. Msanii nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’. Akizungumza na gazeti hili juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, muigizaji huyo wa filamu ya Foolish Age,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 May
Lulu: Sina Jini Mauti
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea.
Akizungumza na gazeti la Amani juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, staa huyu ambae ni mrembo, alisema maisha yake ya siku hizi ni ya kusali sana, hivyo anaamini kutokana na maombi yake, hali yake iko vizuri kutokana na Mungu kumpa anachokihitaji.
“Ninasali sana kwa...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Jini Mauti-17
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Watu wanaposogea kule kulipokuwa na jeneza, kila mmoja alikuwa akimwagiwa unga usoni ili wale waliokuwa na nguvu ya kugundua kwamba yule aliyezikwa hakuwa mtu bali gogo au nyoka mkubwa, waweze kuuona mwili wa marehemu. Endelea…
Ndivyo ilivyokuwa, wakati tunasimama na kuanza kuelekea kwenye jeneza kuaga, tayari wachawi wakakimbia na kuelekea kule, wakajipanga mstari, walikuwa uchi wa mnyama, kila aliyekuwa akilisogelea jeneza lile, alipuliziwa unga fulani usoni...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Jini Mauti-16
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Hata usiku wa siku hiyo tulipokutana kwenye uwanja wa wachawi, sikuonekana kuwa na furaha, nilionekana kuwa mnyonge sana, bibi alifahamu kila kitu kilichotokea, akaamua kunifuata. Endelea sasa…
“Davina…”
“Abeee.”
“Hongera sana,” alisema bibi.
“Hongera sana,” alinipongeza, kidogo nikashtuka.
“Hongera ya nini?” niliuliza.
Badala ya kujibu swali hilo, bibi akaanza kucheka, kicheko kikubwa kilichoonesha ni jinsi gani alifurahi. Sikujua ni kitu gani kilichomfurahisha,...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Jini Mauti-15
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Nyumbani kwao alikuwa yeye na mfanyakazi wa ndani tu, hakukuwa na mtu mwingine. Kweli nikaenda. Akanipokea kwa furaha, mabusu mfululizo, kilichofuata ni kwenda chumbani kwake. Mapigo ya moyo yalinidunda kwa nguvu, niliogopa mno. SASA ENDELEA…
Sikuwahi kufanya kitendo kile alichotaka tukifanye, kila alipokuwa akiugusa mwili wangu, nilitetemeka sana.
“Thomas….”
“Naam.”
“Naomba tufanye siku nyingine.”
“Kwa nini isiwe leo?”
“Sijajiandaa.”
“Hapana! Linaloweza kufanyika...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytrtM8RXH9aHy3qbcYA-pnQP4eRCsMIDotsK7Cv6-OujV-C2en28iQ38cf-5X3W-Ssob2ZI4RGQgstvZdL2wRZp8/BACK.jpg?width=650)
LULU: NIHURUMIENI JAMANI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfa8UH71npBarHEI97luvHCmXtdQorwGfFpFNpx9ud62E7eY4-VSj9RBQNJBT6wBO1Vu9uP4NuZVdmokABmLMGkb/LULU.jpg?width=650)
LULU MAWIGI YANATUZEESHA JAMANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW6381v15yss5zaL0dWnM9CtaxRe5mIudDRRuyno9wYZLvbRZBM2Li0HIMZcfzZWyHi*em4*2TnjVcwBjheeVxov/lulu.jpg?width=650)
BAADA YA KUTOKA LUPANGO JAMANI LULU!
11 years ago
Mwananchi24 Mar
‘Sigombei tena, mimi sina njaa’