Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jini Mauti-17

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Watu wanaposogea kule kulipokuwa na jeneza, kila mmoja alikuwa akimwagiwa unga usoni ili wale waliokuwa na nguvu ya kugundua kwamba yule aliyezikwa hakuwa mtu bali gogo au nyoka mkubwa, waweze kuuona mwili wa marehemu. Endelea…

Ndivyo ilivyokuwa, wakati tunasimama na kuanza kuelekea kwenye jeneza kuaga, tayari wachawi wakakimbia na kuelekea kule, wakajipanga mstari, walikuwa uchi wa mnyama, kila aliyekuwa akilisogelea jeneza lile, alipuliziwa unga fulani usoni...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Jini Mauti-16

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Hata usiku wa siku hiyo tulipokutana kwenye uwanja wa wachawi, sikuonekana kuwa na furaha, nilionekana kuwa mnyonge sana, bibi alifahamu kila kitu kilichotokea, akaamua kunifuata. Endelea sasa…

“Davina…”
“Abeee.”
“Hongera sana,” alisema bibi.
“Hongera sana,” alinipongeza, kidogo nikashtuka.
“Hongera ya nini?” niliuliza.

Badala ya kujibu swali hilo, bibi akaanza kucheka, kicheko kikubwa kilichoonesha ni jinsi gani alifurahi. Sikujua ni kitu gani kilichomfurahisha,...

 

9 years ago

Global Publishers

Jini Mauti-15

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Nyumbani kwao alikuwa yeye na mfanyakazi wa ndani tu, hakukuwa na mtu mwingine. Kweli nikaenda. Akanipokea kwa furaha, mabusu mfululizo, kilichofuata ni kwenda chumbani kwake. Mapigo ya moyo yalinidunda kwa nguvu, niliogopa mno. SASA ENDELEA…

Sikuwahi kufanya kitendo kile alichotaka tukifanye, kila alipokuwa akiugusa mwili wangu, nilitetemeka sana.
“Thomas….”
“Naam.”

“Naomba tufanye siku nyingine.”
“Kwa nini isiwe leo?”
“Sijajiandaa.”

“Hapana! Linaloweza kufanyika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Sina Jini Mauti

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea.

Akizungumza na gazeti la Amani juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, staa huyu ambae ni mrembo, alisema maisha yake ya siku hizi ni ya kusali sana, hivyo anaamini kutokana na maombi yake, hali yake iko vizuri kutokana na Mungu kumpa anachokihitaji.

“Ninasali sana kwa...

 

10 years ago

GPL

LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI

WAANDISHI WETU MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea, Amani linakujuza. Msanii nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’. Akizungumza na gazeti hili juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, muigizaji huyo wa filamu ya Foolish Age,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Awataja Mawakala wa Mauti,Wewe Je ni ‘Wakala wa Mauti’?

Staa wa Bongo Movies aliejijengea heshma kwa mashabiki kwa kazi zake, Riyama Ally anakuja na filamu mpya, kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi‘Albinos’inayokwenda kwa jina la Wakala wa Mauti.

“Hii ni kazi ya mikono yangu namuomba mungu anijalie iwe miongoni mwa kazi bora inshallah amin.....”Riyama alidokeza.

Akionyesha baadhi ya picha za filamu hiyo  mtandaoni Riyama alisema “Hivi ni baadhi ya kipindekipinde cha filamu yangu mpya " Wakala wa Mauti " anae wadhulumu ndugu zetu ma...

 

9 years ago

Mwananchi

Mauti yakikufika

Nenda nenda karatasi, fika tawanya habari, Kamwe kutolonga tusi, na kumghasi mhariri, Mwambie hakuna wasi, kwa kazi yake nzuri, Mauti yakikufika, kwako tujifunze nini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mshahara wa dhambi ni mauti!

RAIS wangu, maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti. Kwakuwa tulikubali kuitenda dhambi basi mauti yetu ni stahiki yetu! Nchi imeelemewa na mizigo yakuletewa. Miongoni mwetu wako watu fahamu zao...

 

10 years ago

GPL

MKE WA MTU AKUMBWA NA MAUTI

Haruni Sanchawa na Denis Mtima/Uwazi
MASKINI! Aneth Solomon (31), mkazi wa Manzese, Dar ambaye ni mke wa mtu, amekumbwa na mauti akiwa ameondoka nyumbani kwa kuaga anakwenda kuhani msiba ukweni kwake, Uwazi lina mkasa mzima. Mwili wa Aneth uliokotwa Februari 21, mwaka huu kwa kukutwa kwenye bonde lililopo katikati ya Magomeni na Kinondoni Mkwajuni, Dar maarufu kwa jina la ‘Msitu wa Kifo’. FAMILIA ILIVYOSEMA
...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi inapita bonde la mauti

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeifananisha hali inayolikumba taifa kwa sasa ambako kila kukicha kumekuwa kukiibuliwa kashfa za ufisadi, ni sawa na kupita kwenye bonde la mauti. Kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani