Lulu: Sina Jini Mauti
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea.
Akizungumza na gazeti la Amani juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, staa huyu ambae ni mrembo, alisema maisha yake ya siku hizi ni ya kusali sana, hivyo anaamini kutokana na maombi yake, hali yake iko vizuri kutokana na Mungu kumpa anachokihitaji.
“Ninasali sana kwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTEUe7oFKX5t-pdIEZF5nuoqEERKKSr1qymdsMxzNYqecbHn9pbYyk-3nydqXV*fgcqm4LA1LFofltpGW4wnfQ3G/1sswde.jpg?width=650)
LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Jini Mauti-15
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Nyumbani kwao alikuwa yeye na mfanyakazi wa ndani tu, hakukuwa na mtu mwingine. Kweli nikaenda. Akanipokea kwa furaha, mabusu mfululizo, kilichofuata ni kwenda chumbani kwake. Mapigo ya moyo yalinidunda kwa nguvu, niliogopa mno. SASA ENDELEA…
Sikuwahi kufanya kitendo kile alichotaka tukifanye, kila alipokuwa akiugusa mwili wangu, nilitetemeka sana.
“Thomas….”
“Naam.”
“Naomba tufanye siku nyingine.”
“Kwa nini isiwe leo?”
“Sijajiandaa.”
“Hapana! Linaloweza kufanyika...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Jini Mauti-16
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Hata usiku wa siku hiyo tulipokutana kwenye uwanja wa wachawi, sikuonekana kuwa na furaha, nilionekana kuwa mnyonge sana, bibi alifahamu kila kitu kilichotokea, akaamua kunifuata. Endelea sasa…
“Davina…”
“Abeee.”
“Hongera sana,” alisema bibi.
“Hongera sana,” alinipongeza, kidogo nikashtuka.
“Hongera ya nini?” niliuliza.
Badala ya kujibu swali hilo, bibi akaanza kucheka, kicheko kikubwa kilichoonesha ni jinsi gani alifurahi. Sikujua ni kitu gani kilichomfurahisha,...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Jini Mauti-17
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Watu wanaposogea kule kulipokuwa na jeneza, kila mmoja alikuwa akimwagiwa unga usoni ili wale waliokuwa na nguvu ya kugundua kwamba yule aliyezikwa hakuwa mtu bali gogo au nyoka mkubwa, waweze kuuona mwili wa marehemu. Endelea…
Ndivyo ilivyokuwa, wakati tunasimama na kuanza kuelekea kwenye jeneza kuaga, tayari wachawi wakakimbia na kuelekea kule, wakajipanga mstari, walikuwa uchi wa mnyama, kila aliyekuwa akilisogelea jeneza lile, alipuliziwa unga fulani usoni...
10 years ago
Bongo Movies27 Mar
Riyama Awataja Mawakala wa Mauti,Wewe Je ni ‘Wakala wa Mauti’?
Staa wa Bongo Movies aliejijengea heshma kwa mashabiki kwa kazi zake, Riyama Ally anakuja na filamu mpya, kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi‘Albinos’inayokwenda kwa jina la Wakala wa Mauti.
“Hii ni kazi ya mikono yangu namuomba mungu anijalie iwe miongoni mwa kazi bora inshallah amin.....”Riyama alidokeza.
Akionyesha baadhi ya picha za filamu hiyo mtandaoni Riyama alisema “Hivi ni baadhi ya kipindekipinde cha filamu yangu mpya " Wakala wa Mauti " anae wadhulumu ndugu zetu ma...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;
Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”
Lulu: “Siyo...
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Mauti yakikufika
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Mshahara wa dhambi ni mauti!
RAIS wangu, maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti. Kwakuwa tulikubali kuitenda dhambi basi mauti yetu ni stahiki yetu! Nchi imeelemewa na mizigo yakuletewa. Miongoni mwetu wako watu fahamu zao...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.