Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Sigombei tena, mimi sina njaa’

Bosi Mkuu wa Simba anayemaliza muda wake, ametangaza kutogombea tena nafasi uenyekiti katika uchaguzi ujao wa klabu hiyo kongwe yenye umri wa babu mwenye wajukuu wasiohesabika na vitukuu kibao. Uchaguzi utafanyika Mei mwaka huu

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Sina njaa, sigombei tena’

Wakati wanachama wa Simba wakipitisha mapendekezo ya marekebisho ya katiba yao, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo jana asubuhi kwenye ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay.

 

10 years ago

GPL

LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI

WAANDISHI WETU MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea, Amani linakujuza. Msanii nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’. Akizungumza na gazeti hili juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, muigizaji huyo wa filamu ya Foolish Age,...

 

9 years ago

Bongo5

Mimi ni mkali ila sina zali tu – Jay Moe

Jaymoe

Ni muda mrefu tulikua hatujamskia Jay Moe, yule yule wa ‘Mvua na Jua’, yule yule wa ‘Kama unataka demu’, yule yule wa ‘Kimya Kimya’ na marehemu Ngwea, au kwa utambulisho wowote unaoufahamu wewe lakini ninayemzungumzia mimi ni Juma mchopanga.

Jaymoe

Jamaa amerudi na wimbo mpya ‘Hili Game’, kama alivyoahidi siku chache zilizopita kua anavunja ukimya wa miaka minne kabla mwaka haujaisha. Ametambulisha wimbo huo Jumatatu hii Dec 7.

Wote tunafahamu ugumu wa game ya muziki wa bongo, baadhi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina tena rafiki CCM

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema.

 

9 years ago

GPL

HAMISA USISTADUU SINA TENA, NALEA

Mwanamitindo ambaye miezi michache iliyopita alibahatika kupata mtoto wa kike, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ amefunguka kuwa kwa sasa mambo ya usistaduu ameyaweka kando, anachokifanya ni kushika nafasi ya umama na kumlea mwanaye.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UGM5uf

 

10 years ago

GPL

MBASHA: MIMI NA FLORA NDIYO BASI TENA!

Brighton Masalu
Mwisho wa reli? Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameapa kwa kulamba kidole, kukichovya kwenye mchanga kisha kukipitisha shingoni kuwa, hana mpango wa kurudiana na mkewe huyo katika maisha yake, Ijumaa Wikienda linakumenyea. Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Mbasha aliweka wazi maumivu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani