HAMISA USISTADUU SINA TENA, NALEA
![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzaJpfTcq0f6khSGGFUrVnNOXwGBg00WT7UUDXHy6ZaTy3KtIK6-g4*nVH8eIyALwqprrL11GKm3sehNBSt9EgBn/10576046_814022105288113_158358201_n.jpg?width=650)
Mwanamitindo ambaye miezi michache iliyopita alibahatika kupata mtoto wa kike, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ amefunguka kuwa kwa sasa mambo ya usistaduu ameyaweka kando, anachokifanya ni kushika nafasi ya umama na kumlea mwanaye.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UGM5uf
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Mar
‘Sina njaa, sigombei tena’
Wakati wanachama wa Simba wakipitisha mapendekezo ya marekebisho ya katiba yao, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo jana asubuhi kwenye ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Lowassa: Sina tena rafiki CCM
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema.
11 years ago
Mwananchi24 Mar
‘Sigombei tena, mimi sina njaa’
Bosi Mkuu wa Simba anayemaliza muda wake, ametangaza kutogombea tena nafasi uenyekiti katika uchaguzi ujao wa klabu hiyo kongwe yenye umri wa babu mwenye wajukuu wasiohesabika na vitukuu kibao. Uchaguzi utafanyika Mei mwaka huu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSXFwaAIoa8VGx6IqcRT0TWSQUu3CXlLwYtunhwJ15NXXfL2aYsgdj8zQKyUQNNP*9tnVPP*5tQn6NcqxnK-iCkt/hamisa.gif)
HAMISA ABWATUKA KISA MABUZI
Stori:MUSA MATEJA MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amepangua tuhuma ambayo amekuwa akitupiwa na watu wanaomuona aking’aa kisha kudai anatumia mgongo wa wanaume tofautitofauti (mabuzi). Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema amekuwa akisikitishwa na tabia hiyo ya watu kumnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatupia picha nyingi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz60wOdHktJfXSkuzXBfH05HwD00r2EmgW0cfhDaB-qG4k*7Qq3RCvXpTniubYXUA25ZG-raryETFqutBc9qRt*g5/hamisa.jpg)
HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE
MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii huku akimmwagia sifa kemkem. Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto akila ujana na mpenzi wake. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvoxp7jhEtJCpOj1Ss5fCCT611Ya32adBrwo*RRvqwY099sOYuaUs6U70h6QlR91xAQoeby5sz4DFa*X5HsC4K1Bwp30YhZ7/hamisa.jpg)
HAMISA APANGUA MSURURU WA WANAUME
Stori: Musa Mateja
MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote. “Nazushiwa tu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWOQyje3BpwpUgSkPurpoOWUxYzxLEYMtk2a-ftsmPQ1UyRzQT8OzFkb1Zz53R-0pNW-pz5MsoUjV0ndYa62GmHp/11098377_1412805635702978_1854371883_n.jpg)
HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto (kushoto) akiwa na mimba kabla ya kujifungua kulia ni mtoto wake wa kike.
Hamisa Mobeto akiwa katika pozi. MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti na wafanyavyo mastaa wengine. Mtandao huu tunampa hongera… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXJRB4mR0blvLtseRLvj1NVmXXEWjFvp11RPlv4IsyhfrzOKsK83Ned6Oat5gJ3AvK6MeGaVgl8RjM4MrFtnIX9L/maindaa.jpg?width=650)
HAMISA MABETO: NINA UTAALAM NA NYOKA
Stori: Musa Mateja
MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, licha ya baadhi ya wasichana wenzake kutokuwa na ujasiri wa kucheza na nyoka, yeye anao. Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ Akipiga stori na Ijumaa, Mabeto alisema awali alikuwa muoga lakini taratibu alianza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania