Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Sina tena rafiki CCM

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM  na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA FORD: SINA RAFIKI STAA BONGO MOVIES!

Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies. Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford. Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma alishawafuta marafiki wote ambao ni wasaliti na badala yake mtu pekee ambaye ni rafiki yake ni mwigizaji mwenzake, Wellu Sengo ambaye anachipukia. “Unajua ni bora uwe hata na rafiki mmoja...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yamuonya tena Lowassa

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sina njaa, sigombei tena’

Wakati wanachama wa Simba wakipitisha mapendekezo ya marekebisho ya katiba yao, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo jana asubuhi kwenye ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay.

 

10 years ago

GPL

HAMISA USISTADUU SINA TENA, NALEA

Mwanamitindo ambaye miezi michache iliyopita alibahatika kupata mtoto wa kike, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ amefunguka kuwa kwa sasa mambo ya usistaduu ameyaweka kando, anachokifanya ni kushika nafasi ya umama na kumlea mwanaye.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UGM5uf

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sigombei tena, mimi sina njaa’

Bosi Mkuu wa Simba anayemaliza muda wake, ametangaza kutogombea tena nafasi uenyekiti katika uchaguzi ujao wa klabu hiyo kongwe yenye umri wa babu mwenye wajukuu wasiohesabika na vitukuu kibao. Uchaguzi utafanyika Mei mwaka huu

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa kuunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kwamba iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya kuchaguliwa kuiongoza nchi ataunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda nchini ili kutetea na kuboresha maslahi yao.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Sina mpango wa kushindwa

lowassaNA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani