Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa kuunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kwamba iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya kuchaguliwa kuiongoza nchi ataunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda nchini ili kutetea na kuboresha maslahi yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Vipi Bodaboda wameachwa kuunda ‘serikali’?

>Kama kuna eneo ambalo tunadhani Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa ni udhibiti wa usafiri wa pikipiki, maarufu kama Bodaboda. Waendesha Bodaboda hapa nchini sasa wanaweza kufananishwa na ‘serikali’ inayojitegemea yenye ‘jeshi’ la ulinzi na usalama.

 

10 years ago

Michuzi

WAENDESHA BODABODA WASAJILIWA KWA MFUMO MAALUMU

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Alternative Communication Bw. Emmanuel John katika picha ya pamoja na baadhi ya waendesha bodaboda mara baada ya kusajiliwa na kukabidhiwa jezi jana kwenye ukumbu wa Princess Sinza Mapambano, Dar es Salaam. Mwakilishi wa Vodacom Stratton Mchau akizungumza na waendesha bodaboda ktk hafla hiyo.Waendesha boda boda wa Kanda ya Temeke wakiwa katika mkutano mkutano wa pande nne, ambao ni uongozi wa Alternative Communication, Jeshi la Polisi, Vodacom na Bodaboda...

 

10 years ago

GPL

WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE

Khadija Kopa akijipinda kimadaha wakati akifanya ‘mavituz’ stejini. Kundi la Ogopa Kopa kazini. Mtoto wa…

 

11 years ago

Michuzi

waendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari

Na Abdulaziz Video, Lindi Mfuko wa Afya Ya Jamii (CHF)Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi wamewezesha kupimwa kwa Afya za Madereva Boda boda wa kata ya Kiwalala wilayani Lindi baada ya kufuzu mafunzo ya Udereva. Mafunzo yaliyotolewa chini ya Mpango shirikishi wa Polisi Jamii Mkoani Humo. Akiongea na madereva Boda boda mara baada ya kuwatunuku vyeti vya kufuzu mafunzo hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Kamishna Msaidizi Renatha Mzinga ametoa wito kwa wahitimu hao kujali...

 

10 years ago

Michuzi

NGO's YA APEC KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI DODOMA YAFUNGA MAFUZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,SACP David Misime akiongea katika kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.Muwakilishi wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoa wa Dodoma, Bw. Erasto Kasugu akisoma risala kwa mgeni rasmi,wakati wa kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDEKEA NA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA LEO, AAHIDI KUUNDA SERIKALI ITAKAYOCHANGAMKIA MAENDELEO YA KUWANUFAISHA WATANZANIA WOTE

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia wananchi wa Mji wa Kahama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward...

 

10 years ago

Habarileo

Waendesha bodaboda Mbeya waonywa

WAENDESHA bodaboda jijini Mbeya wametakiwa kuitumia kazi hiyo kujiletea maendeleo badala ya kukubali kutumika na wanasiasa wachache kuvuruga amani iliyopo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA kuwasaidia waendesha bodaboda

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeahidi kuwasaidia waendesha bodaboda waliozuiwa kufanya shughuli zao katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Wiki chache zilizopita, Serikali ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maisha ya waendesha Bodaboda hatarini

2

Ofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam akichukua funguo za Pikipiki wakati wa zoezi endelevu la kuwakamata waendesha Bodaboda, Zoezi hili kwa kiasi kikubwa limeongeza uhalifu mitaani.(Picha na maktaba).

Na Mwandishi wetu

Operesheni ya kukamata Pikipiki maarufu kama bodaboda zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imedaiwa kuhatarisha maisha ya watu kutokana na polisi kutozingatia usalama wa wapanda pikipiki hao wanapowakamata na kuwasababishia ajali.

Baadhi ya waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani