WAENDESHA BODABODA WASAJILIWA KWA MFUMO MAALUMU
![](http://2.bp.blogspot.com/-4kfvHW45IJU/Vb9_amZkLtI/AAAAAAAHtoA/Kxyvjw1wlYg/s72-c/New%2BPicture%2B%25281%2529%2B-%2BCopy.png)
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Alternative Communication Bw. Emmanuel John katika picha ya pamoja na baadhi ya waendesha bodaboda mara baada ya kusajiliwa na kukabidhiwa jezi jana kwenye ukumbu wa Princess Sinza Mapambano, Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Vodacom Stratton Mchau akizungumza na waendesha bodaboda ktk hafla hiyo.
Waendesha boda boda wa Kanda ya Temeke wakiwa katika mkutano mkutano wa pande nne, ambao ni uongozi wa Alternative Communication, Jeshi la Polisi, Vodacom na Bodaboda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo04 Oct
Lowassa kuunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda
MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kwamba iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya kuchaguliwa kuiongoza nchi ataunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda nchini ili kutetea na kuboresha maslahi yao.
10 years ago
GPLWAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8JpRgSiJD2c/U0U_QCBt8gI/AAAAAAAFZbg/ZrZuPBYAA_c/s72-c/unnamed+(14).jpg)
waendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari
10 years ago
MichuziNGO's YA APEC KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI DODOMA YAFUNGA MAFUZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) MKOANI HUMO
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Maisha ya waendesha Bodaboda hatarini
Ofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam akichukua funguo za Pikipiki wakati wa zoezi endelevu la kuwakamata waendesha Bodaboda, Zoezi hili kwa kiasi kikubwa limeongeza uhalifu mitaani.(Picha na maktaba).
Na Mwandishi wetu
Operesheni ya kukamata Pikipiki maarufu kama bodaboda zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imedaiwa kuhatarisha maisha ya watu kutokana na polisi kutozingatia usalama wa wapanda pikipiki hao wanapowakamata na kuwasababishia ajali.
Baadhi ya waandishi wa...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Waendesha bodaboda Mbeya waonywa
WAENDESHA bodaboda jijini Mbeya wametakiwa kuitumia kazi hiyo kujiletea maendeleo badala ya kukubali kutumika na wanasiasa wachache kuvuruga amani iliyopo.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
BAVICHA kuwasaidia waendesha bodaboda
BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeahidi kuwasaidia waendesha bodaboda waliozuiwa kufanya shughuli zao katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Wiki chache zilizopita, Serikali ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Waendesha bodaboda wafa ajalini
WAENDESHA pikipiki wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika ajali tofauti. Akielezea ajali hizo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema dereva wa pikipiki ‘bodaboda’,...
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Apec kuzindua baraza la waendesha bodaboda
SHIRIKA la Kupunguza Umaskini na Kutunza Mazingira nchini (APEC), linajiandaa kuzindua Baraza la Taifa la Waendesha Bodaboda nchini Desemba 15 mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam...