Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAVICHA kuwasaidia waendesha bodaboda

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeahidi kuwasaidia waendesha bodaboda waliozuiwa kufanya shughuli zao katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Wiki chache zilizopita, Serikali ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Maisha ya waendesha Bodaboda hatarini

2

Ofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam akichukua funguo za Pikipiki wakati wa zoezi endelevu la kuwakamata waendesha Bodaboda, Zoezi hili kwa kiasi kikubwa limeongeza uhalifu mitaani.(Picha na maktaba).

Na Mwandishi wetu

Operesheni ya kukamata Pikipiki maarufu kama bodaboda zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imedaiwa kuhatarisha maisha ya watu kutokana na polisi kutozingatia usalama wa wapanda pikipiki hao wanapowakamata na kuwasababishia ajali.

Baadhi ya waandishi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Waendesha bodaboda Mbeya waonywa

WAENDESHA bodaboda jijini Mbeya wametakiwa kuitumia kazi hiyo kujiletea maendeleo badala ya kukubali kutumika na wanasiasa wachache kuvuruga amani iliyopo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waendesha bodaboda wafa ajalini

WAENDESHA pikipiki wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika ajali tofauti. Akielezea ajali hizo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema dereva wa pikipiki ‘bodaboda’,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF yawafikia wasanii na waendesha bodaboda

WASANII, waendesha bodaboda pamoja na wadau wengine kutoka sekta binafsi, jana walinufaika na huduma iliyotolewa na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) katika Tamasha la Waendesha Bodaboda lililofanyika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Apec kuzindua baraza la waendesha bodaboda

SHIRIKA la Kupunguza Umaskini na Kutunza Mazingira nchini (APEC), linajiandaa kuzindua Baraza la Taifa la Waendesha Bodaboda nchini Desemba 15 mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waendesha bodaboda Ilala kuandamana hadi Ikulu

SAM_3651

Afisa Habari wa Bodaboda Wilaya ya Ilala, Abdallah Bakari ‘Dullah’ akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar.

Na Andrew Chale

Waendesha Bodaboda Wilaya ya Ilala wamepanga kuandamana hadi Ikulu kuonana n Rais kwa ajili ya kutoa malalamiko yao dhidi ya Mkurugenzi wa Jiji, Meya na Mkuu wa Mkoa kwa kile wanachodai viogozi hao kushindwa kudhibiti vitendo vya manyanyaso wanavyofanyiwa na askari mgambo wa jiji ambao wamekuwa wakiwakamata pamoja na kupora Pikipiki...

 

11 years ago

Habarileo

DC: Waendesha bodaboda chanzo cha ajali nyingi

Farida Mgomi MKUU wa Wilaya ya Masasi anayeshikilia pia Wilaya ya Nanyumbu Farida Mgomi amesema kuwa ajali nyingi za barabarani zinasababishwa na madereva pikipiki (bodaboda) kutokana na kutojua, kutotii na kutofuata sheria za usalama barabarani.

 

10 years ago

Michuzi

WAENDESHA BODABODA WASAJILIWA KWA MFUMO MAALUMU

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Alternative Communication Bw. Emmanuel John katika picha ya pamoja na baadhi ya waendesha bodaboda mara baada ya kusajiliwa na kukabidhiwa jezi jana kwenye ukumbu wa Princess Sinza Mapambano, Dar es Salaam. Mwakilishi wa Vodacom Stratton Mchau akizungumza na waendesha bodaboda ktk hafla hiyo.Waendesha boda boda wa Kanda ya Temeke wakiwa katika mkutano mkutano wa pande nne, ambao ni uongozi wa Alternative Communication, Jeshi la Polisi, Vodacom na Bodaboda...

 

11 years ago

Michuzi

OCS MIRERANI ATULIZA WAENDESHA BODABODA WANAOLALAMIKIA KODI

 Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Norman Kibanda, akizungumza jana na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha sh22,000 na maofisa biashara wa wilaya hiyo, waliodai kuwa tozo hizo ni amri ya Mamlaka ya Usafirishari wa vyombo vya usafiri wa majini na nchi kavu (Sumatra)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani