DC: Waendesha bodaboda chanzo cha ajali nyingi
MKUU wa Wilaya ya Masasi anayeshikilia pia Wilaya ya Nanyumbu Farida Mgomi amesema kuwa ajali nyingi za barabarani zinasababishwa na madereva pikipiki (bodaboda) kutokana na kutojua, kutotii na kutofuata sheria za usalama barabarani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4VG1Iutjy7McV*URek1qbQlJsJGBihsb00U-YVDlDX63GG2fnIBUR6Qqe2P77E4DdpXz2mMJ*ozXCrbkBYUqAK/vurugu2.jpg?width=650)
NEWS ALERT: WAENDESHA BODABODA NACHINGWEA WAZINGIRA KITUO CHA POLISI
11 years ago
Michuzi24 May
9 years ago
Habarileo10 Oct
Umbumbumbu watajwa chanzo cha ajali
KUKOSEKANA kwa uelewa juu ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali kumetajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ajali mbalimbali hapa nchini.
10 years ago
Mwananchi06 Oct
‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Kandoro: Mawakala chanzo cha ajali
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amsema siri ya kukithiri kwa ajali za barabarani ni kutokana na mawakala wanaokatisha tiketi katika vituo vya mabasi kutoa motisha ya fedha kwa...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Majeruhi asimulia chanzo cha ajali
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Utata chanzo cha ajali ya ndege Misri
11 years ago
GPLCHANZO CHA AJALI YA SALUM MKAMBALA CHATAJWA
11 years ago
Habarileo02 Apr
TBS: Magari mitumba, tairi chakavu chanzo cha ajali
UNUNUZI wa magari nje ya nchi yaliyokaa muda mrefu kisha kuyatumia nchini, unadaiwa kuchangia ajali nyingi barabarani, kutokana na baadhi tairi kuisha muda wa matumizi.