Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’

Kamati ya watu 14 iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kufuatilia chanzo cha ongezeko la ajali za mabasi, imebaini kuwa abiria wanashawishi madereva kuendesha mabasi kwa kasi na hivyo kuwa sehemu ya sababu za kuongezeka kwa ajali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DerevaMakini: Tujadili namna ya kupunguza ajali za mabasi ya abiria (I)

Na Dotto Kahindi.Nianze kwa kuwasalimu na kutoa shukran zangu kwa Blogu hii kwa kunipa nafasi ya kuwasilisha hoja yangu ambayo inalenga kuishirikisha jamii katika kupata suluhisho la ajali za barabarani ambazo zimekuwa ni janga kubwa la kitaifa.Mara kadhaa niliwahi kusikia takwimu za vifo vinavyotokana na magonjwa mbalimbali yakiwemo UKIMWI, Malaria, Vifo vya mama wajawazito n.k, na vifo hivi vilitia uchungu sana kwa jamii kiasi kampeni kadhaa zilianzishwa ili kupunguza vifo hivyo au...

 

10 years ago

Michuzi

#DerevaMakini: Wajibu wa taasisi, makampuni katika kupunguza ajali za mabasi ya abiria (1)

Nawasalimu nyote kwa jina la uzalendo na utaifa uliotukuka, leo katika mwendelezo wa kampeni ya #DerevaMakini ambayo inalenga kuishirikisha jamii katika kukabiliana na ajali ambazo zimekuwa mwiba kwa taifa, nitaangazia wajibu wa taasisi, makampuni na watu binafsi katika kupunguza ajali hizo.
Katika makala ya awali nilitaja orodha ndefu ya wadau wanaohusika moja kwa moja kwenye sekta ya usafiri ambao wakitekeleza sawasawa majukumu yao ajali zinaweza kupungua kama sio kukoma kabisa. Hivyo leo...

 

11 years ago

Mwananchi

Majeruhi asimulia chanzo cha ajali

Majeruhi wa basi la Burudani lililouwa watu 12 na kujeruhi wengine 93 katika Kijiji cha Taula, Kwedizinga wilayani Handeni, Tanga, wamesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva kuendesha mwendo kasi.

 

9 years ago

Habarileo

Umbumbumbu watajwa chanzo cha ajali

KUKOSEKANA kwa uelewa juu ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali kumetajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ajali mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kandoro: Mawakala chanzo cha ajali

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amsema siri ya kukithiri kwa ajali za barabarani ni kutokana na mawakala wanaokatisha tiketi katika vituo vya mabasi  kutoa motisha ya fedha kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Utata chanzo cha ajali ya ndege Misri

Utata umeendelea kugubika ajali ya ndege iiyodondoka katika katika rasi ya Sinai huko nchini Misri na kuua abiria wote mia mbili na ishirini na nne walikufa.

 

11 years ago

Habarileo

DC: Waendesha bodaboda chanzo cha ajali nyingi

Farida Mgomi MKUU wa Wilaya ya Masasi anayeshikilia pia Wilaya ya Nanyumbu Farida Mgomi amesema kuwa ajali nyingi za barabarani zinasababishwa na madereva pikipiki (bodaboda) kutokana na kutojua, kutotii na kutofuata sheria za usalama barabarani.

 

11 years ago

GPL

CHANZO CHA AJALI YA SALUM MKAMBALA CHATAJWA

Mtangazaji wa Channel  Salumu Mkambala, akipelekwa Theatre katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha, Pwani. Msanii wa kundi la Mizengwe, Hemed Maliyaga (wa kwanza kulia) akisaidiana na ndugu pamoja na mke wa Mkambala (wa tatu kushoto) kumpeleka mgonjwa Theatre.…

 

10 years ago

Michuzi

Chama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI

Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Taifa(Chakua),Hassan Mhanjama akionyesha barua kwa waandishi wa habari  (hawapo pichani) ambazo wamejibiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka).

Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani