DerevaMakini: Tujadili namna ya kupunguza ajali za mabasi ya abiria (I)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sm7dN8o1sRU/VBlN085W7oI/AAAAAAAAGMQ/vbPxcKN-8vk/s72-c/ubungooo.jpg)
Na Dotto Kahindi.Nianze kwa kuwasalimu na kutoa shukran zangu kwa Blogu hii kwa kunipa nafasi ya kuwasilisha hoja yangu ambayo inalenga kuishirikisha jamii katika kupata suluhisho la ajali za barabarani ambazo zimekuwa ni janga kubwa la kitaifa.Mara kadhaa niliwahi kusikia takwimu za vifo vinavyotokana na magonjwa mbalimbali yakiwemo UKIMWI, Malaria, Vifo vya mama wajawazito n.k, na vifo hivi vilitia uchungu sana kwa jamii kiasi kampeni kadhaa zilianzishwa ili kupunguza vifo hivyo au...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QQQMz9AGD0I/VGyMi8SFw5I/AAAAAAAAGZA/kloQFohNGyg/s72-c/dereva%2Bmakini.jpg)
#DerevaMakini: Wajibu wa taasisi, makampuni katika kupunguza ajali za mabasi ya abiria (1)
![](http://3.bp.blogspot.com/-QQQMz9AGD0I/VGyMi8SFw5I/AAAAAAAAGZA/kloQFohNGyg/s1600/dereva%2Bmakini.jpg)
Katika makala ya awali nilitaja orodha ndefu ya wadau wanaohusika moja kwa moja kwenye sekta ya usafiri ambao wakitekeleza sawasawa majukumu yao ajali zinaweza kupungua kama sio kukoma kabisa. Hivyo leo...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Namna ya kupunguza sumu kuvu hatari katika vyakula
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Mabasi yatelekeza abiria UBT
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-97x_7MKyM_k/VI3j_2vTMgI/AAAAAAAG3NE/YUuAU1kg5cE/s72-c/unnamed..jpg)
Scania yakutanisha wadau wa mabasi ya Abiria
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja...
11 years ago
Habarileo23 Feb
Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Mabasi mradi wa DART kubeba abiria 150
NA RABIA BAKARI
MABASI yanayopendekezwa kutumika kwenye usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam, ni yale yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 150 kwa pamoja.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu kununua magari hayo kwa mtu mmoja mmoja, na kwamba kama wana nia ya kuingia katika biashara hiyo, hawana budi kuungana au kushirikiana na wadau wengine wa usafirishaji.
Kauli hiyo ilitolewa na serikali jana, wakati wa mkutano na wadau kutoka nchi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-a6rO42i9wD8/XlqdU9VQLgI/AAAAAAALgJ4/0G1mco_-YJsFFixbIL20J2PMBTfPSGXRgCLcBGAsYHQ/s72-c/MG_9326-1024x603.jpg)
KAMPUNI YA KUUNDA MABASI YA ABIRIA YAANZISHWA KIBAHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-a6rO42i9wD8/XlqdU9VQLgI/AAAAAAALgJ4/0G1mco_-YJsFFixbIL20J2PMBTfPSGXRgCLcBGAsYHQ/s640/MG_9326-1024x603.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/MG_9334-1024x496.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/MG_9327-1024x575.jpg)
Muonekano wa moja ya mabasi yaliyoundwa na Kampuni ya BM Motors iliyopo Kibaha mkoani Pwani kama linavyoonekana likiwa tayari kuanza kutumika .
………………………………………………………………………………………………………….
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya BM Motors iliyopo Kibaha mkoani Pwani, imeingia kwenye orodha ya kampuni zinazounda na kutengeneza mabasi ya abiria hapa nchini.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bw. Jonas Nyagawa amesema, karakana hiyo iliyojengwa eneo la Zegereni katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani...