KAMPUNI YA KUUNDA MABASI YA ABIRIA YAANZISHWA KIBAHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-a6rO42i9wD8/XlqdU9VQLgI/AAAAAAALgJ4/0G1mco_-YJsFFixbIL20J2PMBTfPSGXRgCLcBGAsYHQ/s72-c/MG_9326-1024x603.jpg)
Muonekano wa moja ya mabasi yaliyoundwa na Kampuni ya BM Motors iliyopo Kibaha mkoani Pwani kama linavyoonekana likiwa tayari kuanza kutumika .
………………………………………………………………………………………………………….
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya BM Motors iliyopo Kibaha mkoani Pwani, imeingia kwenye orodha ya kampuni zinazounda na kutengeneza mabasi ya abiria hapa nchini.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bw. Jonas Nyagawa amesema, karakana hiyo iliyojengwa eneo la Zegereni katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Mabasi yatelekeza abiria UBT
9 years ago
Habarileo17 Dec
UNCDF yatoa kianzio ujenzi kituo cha mabasi Kibaha
HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani imepewa Sh bilioni 1.7 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Mtaji wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kama kianzio cha mtaji kwa miradi yake miwili ya kituo cha mabasi cha kisasa na soko.
10 years ago
Mwananchi06 Oct
‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-97x_7MKyM_k/VI3j_2vTMgI/AAAAAAAG3NE/YUuAU1kg5cE/s72-c/unnamed..jpg)
Scania yakutanisha wadau wa mabasi ya Abiria
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Mabasi mradi wa DART kubeba abiria 150
NA RABIA BAKARI
MABASI yanayopendekezwa kutumika kwenye usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam, ni yale yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 150 kwa pamoja.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu kununua magari hayo kwa mtu mmoja mmoja, na kwamba kama wana nia ya kuingia katika biashara hiyo, hawana budi kuungana au kushirikiana na wadau wengine wa usafirishaji.
Kauli hiyo ilitolewa na serikali jana, wakati wa mkutano na wadau kutoka nchi...
11 years ago
Habarileo23 Feb
Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mafuriko yasomba reli, abiria watumia mabasi