Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mashine za EFDs kujadiliwa kimataifa

Mashine za EFD

Mashine za EFD

RUTH MNKENI NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO), DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkutano Mkuu wa Kodi utasaidia kujadili changamoto za mashine za kielektroniki za EFDs na jinsi ya kuzitatua.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema mkutano huo unaojumuisha nchi mbalimbali una lengo la kujadili namna ya kuimarisha taasisi za kodi nchi za Afrika.

Alisema mashine za EFDs zipo kwa mujibu wa sheria,...

 

10 years ago

Habarileo

Sheria gharama za uchaguzi kung’ata

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa na wagombea nchini kuzingatia Sheria ya Gharama ya Uchaguzi, kwani isipozingatiwa itawaathiri wengi watakaokiuka.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria kali kung’ata wahalifu wa mitandao

WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.

 

10 years ago

Mwananchi

Kukabiliana na tabia ya kung’ata kwa watoto

Tabia ya kung’ata kwa watoto ni miongoni mwa changamoto kubwa katika ulezi zinazowakabili wazazi na walezi wengi wa watoto. Kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akiumiza kichwa kuangalia ni jinsi gani anaweza kupambana na tatizo hilo.

 

11 years ago

Habarileo

TRA yakanusha kusitishwa kwa mashine za EFDs

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema uvumi wa kusitishwa kwa matumizi ya mashine za kielektroniki za kodi (EFD) hayana ukweli wowote. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Elimu TRA, Julius Mjenga wakati akizungumza na waandishi wa habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Kung’ata kucha hupoteza haiba ya urembo wako

Ingawa inawezekana wengine wakaona kitu cha ajabu, lakini ukweli ni kwamba kukata kucha kwa meno ni jambo linalofanywa na watu wengi.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kigoda: Mfumo mashine EFDs ni mbovu, unakandamiza

Serikali imekiri mfumo wa ulipaji kodi na ule wa utumiaji wa mashine za kutolea risiti(EFDs) kuwa ni mbovu na hivyo unahitaji kufanyiwa kazi.

 

11 years ago

Michuzi

TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA YAO NA KUACHA KUENDELEA KUGOMEA MASHINE ZA EFDS

DSCF2699Kaimu kamishna Mkuu wa wa Mamlaka ya mapato Tanzania Rished Bade akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha kuhusu mgomo wa wafanyabiashara hapa Nchini DSCF2695Waandishi wa habari wakiwa kazini DSCF2697Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa walipa kodi Richard Kayombo DSCF2713Mr.Jangala ambaye ni Ajenti wa usafirishaji wa magari ya mikoani akilalamikia hali ya wafanyabiashara kugoma ambapo anadai kuwa imemuathiri kwa kiasi kikubwa kukosa abiria wanaokuja kununua bidhaa za jumla DSCF2700 DSCF2706Shughuli mbalimbali zilidorora hata...

 

10 years ago

Mwananchi

SHERIA: Sheria gharama za uchaguzi kung’ata zaidi

>Serikali inakusanya nguvu kuhakikisha Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010, inang’ata wagombea wote watakaojihusisha na rushwa katika harakati zao za kusaka uongozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani