Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashine za EFDs kujadiliwa kimataifa

Mashine za EFD

Mashine za EFD

RUTH MNKENI NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO), DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkutano Mkuu wa Kodi utasaidia kujadili changamoto za mashine za kielektroniki za EFDs na jinsi ya kuzitatua.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema mkutano huo unaojumuisha nchi mbalimbali una lengo la kujadili namna ya kuimarisha taasisi za kodi nchi za Afrika.

Alisema mashine za EFDs zipo kwa mujibu wa sheria,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TRA yakanusha kusitishwa kwa mashine za EFDs

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema uvumi wa kusitishwa kwa matumizi ya mashine za kielektroniki za kodi (EFD) hayana ukweli wowote. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Elimu TRA, Julius Mjenga wakati akizungumza na waandishi wa habari.

 

11 years ago

Habarileo

Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kigoda: Mfumo mashine EFDs ni mbovu, unakandamiza

Serikali imekiri mfumo wa ulipaji kodi na ule wa utumiaji wa mashine za kutolea risiti(EFDs) kuwa ni mbovu na hivyo unahitaji kufanyiwa kazi.

 

11 years ago

Michuzi

TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA YAO NA KUACHA KUENDELEA KUGOMEA MASHINE ZA EFDS

DSCF2699Kaimu kamishna Mkuu wa wa Mamlaka ya mapato Tanzania Rished Bade akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha kuhusu mgomo wa wafanyabiashara hapa Nchini DSCF2695Waandishi wa habari wakiwa kazini DSCF2697Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa walipa kodi Richard Kayombo DSCF2713Mr.Jangala ambaye ni Ajenti wa usafirishaji wa magari ya mikoani akilalamikia hali ya wafanyabiashara kugoma ambapo anadai kuwa imemuathiri kwa kiasi kikubwa kukosa abiria wanaokuja kununua bidhaa za jumla DSCF2700 DSCF2706Shughuli mbalimbali zilidorora hata...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

11 years ago

IPPmedia

JK: No going back on use of EFDs


IPPmedia
JK: No going back on use of EFDs
IPPmedia
President Jakaya Kikwete has said the government will not retreat on the use the Electronic Fiscal Devices (EFDs), directing Tanzania Revenue Authority (TRA) management to hold discussions with traders and find solutions to the issues they have raised.
Kikwete 'stops' hotels in NgorongoroDaily News

all 2

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wazikubali EFDs

JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), imekubali kutumia mashine za elektroniki (EFDs), huku wakiomba serikali kurekebisha changamoto ambazo ni muhimu. Akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa siku tatu wa viongozi wa...

 

11 years ago

TheCitizen

We aren’t against EFDs, say traders

The electronic fiscal devices (EFDs) saga has taken a new twist, with traders saying corruption and a poor tax regime are the major factors behind their reluctance to fully adopt the use of the tax machines.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kupambana na wasiotumia EFDs

IMEELEZWA kuwa serikali haitamfumbia macho mfanyabiashara ambaye anakwepa kununua mashine za kutoa risiti za kielektroniki (EFDs) ili kutunza kumbukumbu za mauzo. Mashine hizo pia zinasaidia namna ya kupata mapato yaliyo sahihi kwa wale wanaolipa bila kuumia na kurahisisha kufanya makadirio ya kodi kwa vile taarifa zote atakuwa nazo katika mashine yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani