TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA YAO NA KUACHA KUENDELEA KUGOMEA MASHINE ZA EFDS
Kaimu kamishna Mkuu wa wa Mamlaka ya mapato Tanzania Rished Bade akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha kuhusu mgomo wa wafanyabiashara hapa Nchini
Waandishi wa habari wakiwa kazini
Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa walipa kodi Richard Kayombo
Mr.Jangala ambaye ni Ajenti wa usafirishaji wa magari ya mikoani akilalamikia hali ya wafanyabiashara kugoma ambapo anadai kuwa imemuathiri kwa kiasi kikubwa kukosa abiria wanaokuja kununua bidhaa za jumla
Shughuli mbalimbali zilidorora hata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Apr
TRA yakanusha kusitishwa kwa mashine za EFDs
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema uvumi wa kusitishwa kwa matumizi ya mashine za kielektroniki za kodi (EFD) hayana ukweli wowote. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Elimu TRA, Julius Mjenga wakati akizungumza na waandishi wa habari.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Tanga watishia kufunga maduka kugomea EFD
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Mashine za EFDs kujadiliwa kimataifa
![Mashine za EFD](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/EFD.jpg)
Mashine za EFD
RUTH MNKENI NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO), DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkutano Mkuu wa Kodi utasaidia kujadili changamoto za mashine za kielektroniki za EFDs na jinsi ya kuzitatua.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema mkutano huo unaojumuisha nchi mbalimbali una lengo la kujadili namna ya kuimarisha taasisi za kodi nchi za Afrika.
Alisema mashine za EFDs zipo kwa mujibu wa sheria,...
11 years ago
Habarileo23 Feb
Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Wafanyabiashara wazikubali EFDs
JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), imekubali kutumia mashine za elektroniki (EFDs), huku wakiomba serikali kurekebisha changamoto ambazo ni muhimu. Akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa siku tatu wa viongozi wa...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Waziri Kigoda: Mfumo mashine EFDs ni mbovu, unakandamiza
11 years ago
Habarileo07 Jul
TRA yampongeza Kikwete kuhusu EFDs
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuwasaidia kuhamasisha matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFDs) za mamlaka hiyo.
10 years ago
TheCitizen09 Apr
Rent out EFDs to ‘ease’ TRA-traders relations
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DM3NPBV3nXk/VW3GnDT5yPI/AAAAAAAHbZg/NMth2RY9_p4/s72-c/unnamed%2B%252853%2529.jpg)
SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA JUU YA MATUMIZI YA EFDs
![](http://3.bp.blogspot.com/-DM3NPBV3nXk/VW3GnDT5yPI/AAAAAAAHbZg/NMth2RY9_p4/s640/unnamed%2B%252853%2529.jpg)
Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Serikali yafikia muafaka...