Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA yakanusha kusitishwa kwa mashine za EFDs

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema uvumi wa kusitishwa kwa matumizi ya mashine za kielektroniki za kodi (EFD) hayana ukweli wowote. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Elimu TRA, Julius Mjenga wakati akizungumza na waandishi wa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA YAO NA KUACHA KUENDELEA KUGOMEA MASHINE ZA EFDS

DSCF2699Kaimu kamishna Mkuu wa wa Mamlaka ya mapato Tanzania Rished Bade akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha kuhusu mgomo wa wafanyabiashara hapa Nchini DSCF2695Waandishi wa habari wakiwa kazini DSCF2697Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa walipa kodi Richard Kayombo DSCF2713Mr.Jangala ambaye ni Ajenti wa usafirishaji wa magari ya mikoani akilalamikia hali ya wafanyabiashara kugoma ambapo anadai kuwa imemuathiri kwa kiasi kikubwa kukosa abiria wanaokuja kununua bidhaa za jumla DSCF2700 DSCF2706Shughuli mbalimbali zilidorora hata...

 

10 years ago

Mtanzania

Mashine za EFDs kujadiliwa kimataifa

Mashine za EFD

Mashine za EFD

RUTH MNKENI NA RAPHAEL NOLESCUS (TUDARCO), DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkutano Mkuu wa Kodi utasaidia kujadili changamoto za mashine za kielektroniki za EFDs na jinsi ya kuzitatua.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema mkutano huo unaojumuisha nchi mbalimbali una lengo la kujadili namna ya kuimarisha taasisi za kodi nchi za Afrika.

Alisema mashine za EFDs zipo kwa mujibu wa sheria,...

 

11 years ago

Habarileo

Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.

 

11 years ago

Habarileo

Mashine za TRA zanunuliwa kwa wingi

AGIZO la Serikali la kutaka wafanyabiashara kununua na kutumia mashine za kielektroniki (EFD), limeanza kutekelezwa kwa kasi mkoani hapa. Hatua hiyo inatokana na kile kilichoelezwa kuwa wafanyabiashara wakubwa, wameziingiza kwa wingi mashine hizo na kuuzia wenzao kwa bei ndogo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kigoda: Mfumo mashine EFDs ni mbovu, unakandamiza

Serikali imekiri mfumo wa ulipaji kodi na ule wa utumiaji wa mashine za kutolea risiti(EFDs) kuwa ni mbovu na hivyo unahitaji kufanyiwa kazi.

 

11 years ago

Habarileo

TRA yampongeza Kikwete kuhusu EFDs

Rais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade (kulia) kuhusu shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo wakati Rais alipotembelea banda la TRA lililopo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 38 yanayoendelea kwenye viwanja hivyo, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuwasaidia kuhamasisha matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFDs) za mamlaka hiyo.

 

10 years ago

TheCitizen

Rent out EFDs to ‘ease’ TRA-traders relations

The simmering controversy on the compulsory use of electronic fiscal devices (EFDs) by traders in Tanzania especially small-scale traders has been going on for far too long.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani