Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali isirudi nyuma kuhusu mashine za EFD

Tumeendelea kushuhudia vitimbi na migomo inayofanywa na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam na katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwamo Mwanza na Morogoro. Lengo la wafanyabiashara hao ni kugomea matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFD) zinazotumiwa kutambua kiasi cha kodi kinachopaswa kutozwa kwa kila mfanyabiashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hatujakataza matumizi mashine za EFD’

UONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiasha nchini (JWT) umesema haujawakataza wafanyabiashara kutumia mashine za kielektroniki za EFD bali wanachohitaji ni maboresho katika mashine hizo. Akizungumza na Tanzania Daima  jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sikika yakanusha taarifa ya upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015

Sikika

Naomba nifafanue kuhusu propaganda inayoenezwa na maafisa wa TCRA kupitia CloundsFM kuhusu Sikika na Mswada wa ‪#‎CyberCrimeBill.

Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na  Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.

Sikika haikutoa maoni kuhusu Mswada wa miamala ya kielektoniki kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na pia leo maafisa wa TCRA.

1.Mkurugenzi wa Sikika, Irenei Kiria (kulia) picha ya Maktaba ya mtandao.

Sikika ilituma maoni ya pamoja ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma

SONY DSC

Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.

Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...

 

10 years ago

Michuzi

MH.WAZIRI WA FEDHA SAADA M.SALUM AFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI WA MASHINE ZA EFD KATIKA MADUKA MKOANI DODOMA.

1Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum(MB) akitoa maelekezo kwa Meneja wa TRA mkoani Dodoma (mwenye miwani) na wakala wa TRA kutoka Yono Action Mart kulifunga duka la Salome Furniture baada ya kukutwa akifanya biashara bila ya kutumia risiti za mashine ya EFD.2Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada M.Salum(MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.3Waziri wa Fedha Mh. Saada M.Salum(MB) akiwa katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nassari: Serikali inunune mashine za EFD China

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), ameihoji serikali ni kwanini isinunue mashine za kieletroniki (EFD) nchini China ambako zinauzwa kwa bei ndogo. Nassari amehoji hatua hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yazidi kuhimiza mashine za EFD nchini

UJIO wa mashine za kielektroniki za kutolea risiti za kodi (EFDs) nchini ni ukombozi wa ukusanyaji wa mapato ya nchi yaliyokuwa yakipotea na kulinyima taifa mapato. Mamlaka ya Mapato Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani