MH.WAZIRI WA FEDHA SAADA M.SALUM AFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI WA MASHINE ZA EFD KATIKA MADUKA MKOANI DODOMA.
Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum(MB) akitoa maelekezo kwa Meneja wa TRA mkoani Dodoma (mwenye miwani) na wakala wa TRA kutoka Yono Action Mart kulifunga duka la Salome Furniture baada ya kukutwa akifanya biashara bila ya kutumia risiti za mashine ya EFD.
Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada M.Salum(MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.
Waziri wa Fedha Mh. Saada M.Salum(MB) akiwa katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma
Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.
Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.
Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tavPmNpAseA/VXRpSfZ7nzI/AAAAAAAHcwE/k_lHx38E_oI/s72-c/unnamed%2B%252899%2529.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) ALIYOIWASILISHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-tavPmNpAseA/VXRpSfZ7nzI/AAAAAAAHcwE/k_lHx38E_oI/s640/unnamed%2B%252899%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)
Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC
Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya akutana na Joly wa (IMF) pamoja na Larose wa (WB)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UNqbAHKfh7U/VdxuqzjGWXI/AAAAAAAAYPM/p4gN-ItTNqw/s72-c/SAADA_CHEQUE.jpg)
WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO
![](http://3.bp.blogspot.com/-UNqbAHKfh7U/VdxuqzjGWXI/AAAAAAAAYPM/p4gN-ItTNqw/s640/SAADA_CHEQUE.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5vgiKwffKIQ/VdxulzLOAtI/AAAAAAAAYPA/nEXGSCmyiRY/s640/Saada%2Bhotuba2.jpg)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BZ1ZNu1X1T8/U3vic_o1ToI/AAAAAAAFkDw/gU5cm4KbIa8/s72-c/unnamed+(39).jpg)
Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum ahudhuria Mkutano wa mwaka wa Benki ya maendeleo ya Afrika Rwanda
![](http://2.bp.blogspot.com/-BZ1ZNu1X1T8/U3vic_o1ToI/AAAAAAAFkDw/gU5cm4KbIa8/s1600/unnamed+(39).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-effGvYwjfHw/U3vic455PWI/AAAAAAAFkD8/XyEBte1dOc8/s1600/unnamed+(40).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qQN2Hi4VyPQ/U3vidMERCTI/AAAAAAAFkD0/6gPIFYXl9Yk/s1600/unnamed+(41).jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum azindua bodi mpya ya PPF na mafao mapya ya mfuko huo
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni moja, mwanachama wa mfuko huo, Sara Haule kama malipo ya fao la uzazi katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo sanjari na uzinduzi wa fao la uzazi.
Waziri Fedha, Saada Mkuya akipeana mkono wa pongezi Mwanachama wa mfuko huo, Caroline Kiswaga, baada ya...
9 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI MPYA YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO HUO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-U7ySRAhdeeQ/VThVMQUZgaI/AAAAAAAHSrU/Q0msbW4tHvU/s72-c/unnamed%2B(77).jpg)
WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA KATIK MKUTANO WA MAJUMUISHO NA IMF, BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-U7ySRAhdeeQ/VThVMQUZgaI/AAAAAAAHSrU/Q0msbW4tHvU/s1600/unnamed%2B(77).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bQg5nHgm1YU/VThVNKUO2TI/AAAAAAAHSsQ/ZkcSx-Vy7Hk/s1600/unnamed%2B(79).jpg)