Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma

SONY DSC

Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.

Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH.WAZIRI WA FEDHA SAADA M.SALUM AFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI WA MASHINE ZA EFD KATIKA MADUKA MKOANI DODOMA.

1Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum(MB) akitoa maelekezo kwa Meneja wa TRA mkoani Dodoma (mwenye miwani) na wakala wa TRA kutoka Yono Action Mart kulifunga duka la Salome Furniture baada ya kukutwa akifanya biashara bila ya kutumia risiti za mashine ya EFD.2Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada M.Salum(MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.3Waziri wa Fedha Mh. Saada M.Salum(MB) akiwa katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hatujakataza matumizi mashine za EFD’

UONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiasha nchini (JWT) umesema haujawakataza wafanyabiashara kutumia mashine za kielektroniki za EFD bali wanachohitaji ni maboresho katika mashine hizo. Akizungumza na Tanzania Daima  jijini Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI

WAZIRI WA FEDHA  WA ZANZIBAR MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE AKIINGIIA KATIKA UKUNBU WA BARAZA LA  WAWAKILISHI LEO

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX MJINI DODOMA AGOSTI 12, 2015

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (wa pili kushoto) akitembelea soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, Wengine ni viongozi wa soko hilo. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua eneo la vyoo vya soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati alipotembelea soko hilo mapema leo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (katikati) akibadilishana mawazo juu ya changamoto za biashara na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara Mkoani Dodoma

1

Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi  uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika   mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).

2

Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka  wa (katikati)  akitoa  maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM  walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi  katika eneo la  Mlimani.

3

Kaimu  Mkurugenzi Mkuu wa  (CDA) Bw: Pascal Muragiri  akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada  wa  Benki  ya Dunia   wanao...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA SHULE YA POLISI MOSHI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikagua eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wapili kulia) akitumia darubini kuangali wakati alipofanya ziara ya ukaguzi eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani