Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara Mkoani Dodoma
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka wa (katikati) akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi katika eneo la Mlimani.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (CDA) Bw: Pascal Muragiri akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada wa Benki ya Dunia wanao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MITARO NA MAENEO YALIYOATHILIWA NA KIPINDUPINDU JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
5 years ago
MichuziBALOZI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA WATUMISHI WA OFISI ZA MWAKILISHI WA KUDUMU WA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MAZIWA MAKUU AFRIKA
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimkaribisha Mkuu wa Watumishi wa Ofisi za Mwakilishi wa Kudumu wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maziwa Makuu Barani Afrika, Bw. Aniefiok Johnson katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es SalaamKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimuelezea jambo katika Ofisi ndogo zaWizara Jijini Dar es SalaamMkuu wa...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WILAYANI CHEMBA MKOANI DODOMA
10 years ago
VijimamboWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe Jenista Mhagama afanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA LEO.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikatiza kwenye moja ya mtaro alipokwenda kukagua na kushiriki kulima katika shamba la mkulima bora wa mwaka 2014,Bi.Anna Mlewa katika kijiji cha Berege,wilaya ya Mpwapwa. Kinana ameanza ziara ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua,kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Pichani Kati ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameongoza na Mkulima bora wa mwaka...
9 years ago
GPLKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KONGWA MKOANI DODOMA.