KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s72-c/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2wbNUQWxs8w/VfSlycBQWUI/AAAAAAABlxM/kATyAIcFBF8/s640/11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
11 years ago
Dewji Blog12 May
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara Mkoani Dodoma
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka wa (katikati) akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi katika eneo la Mlimani.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (CDA) Bw: Pascal Muragiri akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada wa Benki ya Dunia wanao...
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MITARO NA MAENEO YALIYOATHILIWA NA KIPINDUPINDU JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-z_ItzeMshcY/U2l-N5pUTNI/AAAAAAAFgAo/ChuDAnd8OyY/s72-c/download.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-mKzNUwSp1sY/VHo-0Tday7I/AAAAAAADJJs/J9IOhLTC300/s72-c/PG4A1896.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/-mKzNUwSp1sY/VHo-0Tday7I/AAAAAAADJJs/J9IOhLTC300/s1600/PG4A1896.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2PKiPMgnKWw/VHo-0aq8WJI/AAAAAAADJJo/vF30JsHqgOs/s1600/PG4A1852.jpg)