Serikali isirudi nyuma kuhusu mashine za EFD
Tumeendelea kushuhudia vitimbi na migomo inayofanywa na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam na katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwamo Mwanza na Morogoro. Lengo la wafanyabiashara hao ni kugomea matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFD) zinazotumiwa kutambua kiasi cha kodi kinachopaswa kutozwa kwa kila mfanyabiashara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)
Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.
Baadhi ya Waandishi wa...
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Nassari: Serikali inunune mashine za EFD China
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), ameihoji serikali ni kwanini isinunue mashine za kieletroniki (EFD) nchini China ambako zinauzwa kwa bei ndogo. Nassari amehoji hatua hiyo bungeni jana alipokuwa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Serikali yazidi kuhimiza mashine za EFD nchini
UJIO wa mashine za kielektroniki za kutolea risiti za kodi (EFDs) nchini ni ukombozi wa ukusanyaji wa mapato ya nchi yaliyokuwa yakipotea na kulinyima taifa mapato. Mamlaka ya Mapato Tanzania...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
MASHINE ZA EFD: Tulipe kodi, serikali iwajibike
SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato zinakuwa zimefilisika na kuingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika. Kufilisika kwa taifa huja kwa viashiria vingi sana, kwanza serikali kuwa na...
11 years ago
Michuzi12 Feb
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
MASHINE ZA EFD: Lazima tulipe kodi, serikali iwajibike ipasavyo
SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato maana yake zimefilisika, na kwa maana hiyo zimeingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika (bankrupt states). Kufilisika kwa taifa huja kwa viashilia...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
TRA: Mashine za EFD haziepukiki
WAKATI wafanyabiashara maeneo mbalimbali nchini wakiendelea na mgomo kupinga kununua mashine za EFDs, Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini, (TRA), Rished Bade, amesisitiza kuwa mashine hizo haziepukiki na...
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Wafanyabiashara wazijadili mashine za EFD’s
KATIBU wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Sued Chemuchemu, amesema matumizi ya mashine za EFD’s ni kandamizi kwa wafanyabiashara kwa sababu wakati wa kutungwa kwa sheria ya matumizi yake hakuna mfanyabiashara...