Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yazidi kuhimiza mashine za EFD nchini

UJIO wa mashine za kielektroniki za kutolea risiti za kodi (EFDs) nchini ni ukombozi wa ukusanyaji wa mapato ya nchi yaliyokuwa yakipotea na kulinyima taifa mapato. Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wataka bei za mashine za EFD nchini zipunguzwe

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kuziuza mashine za kielektroniki kwa bei ndogo inayolingana na hali halisi ya biashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nassari: Serikali inunune mashine za EFD China

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), ameihoji serikali ni kwanini isinunue mashine za kieletroniki (EFD) nchini China ambako zinauzwa kwa bei ndogo. Nassari amehoji hatua hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MASHINE ZA EFD: Tulipe kodi, serikali iwajibike

SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato zinakuwa zimefilisika na kuingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika. Kufilisika kwa taifa huja kwa viashiria vingi sana, kwanza serikali kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali isirudi nyuma kuhusu mashine za EFD

Tumeendelea kushuhudia vitimbi na migomo inayofanywa na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam na katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwamo Mwanza na Morogoro. Lengo la wafanyabiashara hao ni kugomea matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFD) zinazotumiwa kutambua kiasi cha kodi kinachopaswa kutozwa kwa kila mfanyabiashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MASHINE ZA EFD: Lazima tulipe kodi, serikali iwajibike ipasavyo

SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato maana yake zimefilisika, na kwa maana hiyo zimeingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika (bankrupt states). Kufilisika kwa taifa huja kwa viashilia...

 

11 years ago

Michuzi

Adam Mlima asisitiza umuhim wa mashine za EFD kwa wafanyabiashara nchini.

 Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima (kushoto) akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mara John Tuppa (kulia) mara baada ya kuwasili katika ofisi za makao makuu ya mkoa wa Mara.  Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Patrick Kasera akifafanua kwa wafanyabiashara wa mkoani Mara juu ya mashine za EFDs na kusema kuwa mashine hizo kazi yake kuu ni kutunza kumbukumbu za biashara hasa manunuzi na uuzaji na sio mfumo wa kodi kama ilivyopokelewa mwanzoni na wafanyabiashara nchini.  Naibu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani