Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kupambana na wasiotumia EFDs

IMEELEZWA kuwa serikali haitamfumbia macho mfanyabiashara ambaye anakwepa kununua mashine za kutoa risiti za kielektroniki (EFDs) ili kutunza kumbukumbu za mauzo. Mashine hizo pia zinasaidia namna ya kupata mapato yaliyo sahihi kwa wale wanaolipa bila kuumia na kurahisisha kufanya makadirio ya kodi kwa vile taarifa zote atakuwa nazo katika mashine yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA JUU YA MATUMIZI YA EFDs

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja wafanyabiashara alipotoa Taarifa ya muafaka uliofikiwa kati ya wafanyabiashara na serikali juu ya Matumizi ya Mashine za kielektroniki (EFDs) leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabishara Bw. Johnson Minja na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mzee Benard Mchovu (Picha na Regnihaldah Mpete-TRA)
Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Serikali yafikia muafaka...

 

10 years ago

GPL

VEGA-CAPPELA, WAIMBAJI WA INJILI WASIOTUMIA ALA ZA MUZIKI

Kundi la Vega-Capella wakiwa katika pozi tofauti za uimbaji. KAMERA yetu leo imekutana na kundi la waimbaji wa Injili liitwalo Vega-Capella ambapo washiriki wake huimba kwa kutumia sauti zao -- bila kutumia ala yoyote ya muziki ambayo wanaiita kwa jina la ‘Akapella’. Kundi hilo lililoanza shughuli zake mwaka limedhamiria kuendelea na juhudi zake za kueneza… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali imeshindwa kupambana na Mnyauko’

MBUNGE wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM) ameitaka Serikali kueleza sababu zinazochangia kushindwa kutokomeza ugonjwa wa Mnyauko unaoshambulia migomba Mkoani Kagera. Akiuliza swali la nyongeza Mbunge huyo alisema ugonjwa huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lukuvi: Serikali imejipanga kupambana dawa za kulevya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amesema serikali imejipanga kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya na itakabiliana na wahusika kwa kutumia kila mbinu...

 

11 years ago

Mwananchi

Hivi kweli Serikali haiwezi kupambana na majangili?

Tuna vita mikononi mwetu hivyo ni muhimu tutumie kila tulichonacho kupambana na kushinda vita hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ugonjwa wa Ebola na jitihada za Serikali katika kupambana nao

PIX 1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa  abiria  atayekutwa na ugonjwa wa Ebola  mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM

Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya homa ya hemoraji ikimaanisha ugonjwa wa kumwagika damu bila kuganda (Viral Haemorrhagic Fevers).

Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, ugonjwa huu ni hatari na unasababishwa na...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Marekani yatoa Dola milioni 3.6 kupambana na Covid-19 Tanzania.

 Serikali ya Marekani imetenga kiasi cha dola millioni3.6 ( Shilling billioni 7.8) kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Tanzania katika mapambano dhidi ya janga la Korona (COVID-19)

Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.

Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni...

 

5 years ago

Michuzi

TMRC yatoa mchango kwa Serikali na jamii kupambana na Corona.

Mganga Mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Amana Dr. Amani Malima, aliyevaa shati akipokea gallon ya lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TMRC Oscar Mgaya wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano ya mchango huo wa Vitakasa mikono 
..............................................
TMRC imetoa msaada huo kwa hospitali ya Serikali ya Amana. Msaada huo ni gallons 50 za lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) ambazo kwa ujumla wake ni lita 250.
Msaada huo ulipokelewa na Mganga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani