VEGA-CAPPELA, WAIMBAJI WA INJILI WASIOTUMIA ALA ZA MUZIKI
Kundi la Vega-Capella wakiwa katika pozi tofauti za uimbaji. KAMERA yetu leo imekutana na kundi la waimbaji wa Injili liitwalo Vega-Capella ambapo washiriki wake huimba kwa kutumia sauti zao -- bila kutumia ala yoyote ya muziki ambayo wanaiita kwa jina la ‘Akapella’. Kundi hilo lililoanza shughuli zake mwaka limedhamiria kuendelea na juhudi zake za kueneza… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm2R5XEZ7-kbRyEthPdAyHlP9tnc4*Dx4TI-pPxcrWSjEtm1nytDk-iduviCYelA-H48p5-xQ35ZvP8qa4qQ0dPU/mike_tee_trans.png?width=600)
MIKE TEE AANDIKA BARUA YA WAZI KWA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UrhBlDTdDps/VVeiK5czS2I/AAAAAAAHXqo/XjIfaNT930I/s72-c/DSC_8730.jpg)
MSAMA AWATAKA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUFANYA KAZI YA MUNGU NA SI MAMBO YA SIASA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-UrhBlDTdDps/VVeiK5czS2I/AAAAAAAHXqo/XjIfaNT930I/s400/DSC_8730.jpg)
Msama ameyasema hayo wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na urais unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Msama anasema karipio hilo linawahusu pia viongozi wa dini wakiwamo Wachungaji na Maaskofu ambao wanaonesha nia ya kutaka...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Waimbaji Injili waaswa
WAIMBAJI wa muziki wa Injili wametakiwa kurudia umoja na upendo aliowaachia Yesu ikiwa ni pamoja na kuzidi kumtumikia Mungu, kwani hawajui vilivyo mbele yao. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Lucy awaonya waimbaji wa injili
NA GEORGE KAYALA
MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, Lucy Masha, amewaonya waimbaji wenzake kuishi maisha matakatifu na
kuwa kielelezo kizuri katika jamii badala ya kufanya mambo yaliyokinyume na kile wanachokiimba kwenye tungo zao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Lucy, anayetamba na albamu yake aliyoipa jina la ‘Tetea Maisha Yangu’, alisema anaumizwa anapoona waimbaji wenzake wanafanya matendo yenye machukizo mbele za Mungu na kwa mtu asiyewajua huwachukulia kama wapagani, wakati wakiwa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Waimbaji Injili waaswa wajitafakari
MWIMBAJI chipukizi wa nyimbo za injili, Upendo Mollel amewaasa waimbaji wenzake nchini kujitafakari na kujipima kuwa mwaka huu watamtumikia Mungu kwa viwango gani. Akizungumza na Tanzania Daima katika mahojianio maalumu,...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Waimbaji Injili waliofunika 2013
KAMA utakuwa sahihi, huwezi kuwataja waimbaji wa nyimbo za Injili nchini na Afrika Mashariki bila kuyataja baadhi ya majina kutokana na mvuto na ubora wa kazi zao sokoni. Miongoni mwao...
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Nini hasa fahari ya waimbaji wa Injili?
”KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika…” Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...