MIKE TEE AANDIKA BARUA YA WAZI KWA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI
![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm2R5XEZ7-kbRyEthPdAyHlP9tnc4*Dx4TI-pPxcrWSjEtm1nytDk-iduviCYelA-H48p5-xQ35ZvP8qa4qQ0dPU/mike_tee_trans.png?width=600)
Msanii wa muziki na CEO wa kampuni ya Showbiz Defined Media Company, Make Tee. Msanii wa muziki na CEO wa kampuni ya Showbiz Defined Media Company, Make Tee ameandika barua ya wazi kwa Watanzania wanaofanya muziki wa injili nchini. Barua hiyo inasomeka kama ifuatavyo: Ninavyojua muziki wa kwaya unauza sana kuliko muziki wowote Tanzania , Matamasha yao yanajaza watu wengi sana kwasababu moja , hayachagui umri na pale watu wengi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Fidel Castro aandika barua ya wazi Cuba
10 years ago
GPLVEGA-CAPPELA, WAIMBAJI WA INJILI WASIOTUMIA ALA ZA MUZIKI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UrhBlDTdDps/VVeiK5czS2I/AAAAAAAHXqo/XjIfaNT930I/s72-c/DSC_8730.jpg)
MSAMA AWATAKA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUFANYA KAZI YA MUNGU NA SI MAMBO YA SIASA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-UrhBlDTdDps/VVeiK5czS2I/AAAAAAAHXqo/XjIfaNT930I/s400/DSC_8730.jpg)
Msama ameyasema hayo wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na urais unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Msama anasema karipio hilo linawahusu pia viongozi wa dini wakiwamo Wachungaji na Maaskofu ambao wanaonesha nia ya kutaka...
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Waziri Membe awaasa waimbaji wa nyimbo za injili nchini kuwa chachu ya amani na uadilifu nchin
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Eric Shigongo aandika barua kali kwa CCM na Watanzania wote!
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Ndugu zangu. Watanzania wenzangu,
Kwanza kabisa nawapongezeni kwa amani na utulivu mliouonyesha katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ambao ulimalizika salama na hatimaye jana Rais wa Awamu wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliapishwa mbele ya macho yangu na ya Watanzania wengine wengi.
Hakika tumeuthibitishia ulimwengu kwamba, sisi Watanzania ni tofauti na wao, tunao uwezo wa kuvuka kwenye nyakati ngumu lakini bado...
10 years ago
Bongo512 Jan
New Music: Mike Tee — I Miss You
11 years ago
Michuzi30 May
introducing "Ulisema" by BONIFACE & MIKE TEE