Lukuvi: Serikali imejipanga kupambana dawa za kulevya
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amesema serikali imejipanga kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya na itakabiliana na wahusika kwa kutumia kila mbinu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Jun
Chombo cha kupambana dawa za kulevya kuundwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema atahakikisha kunaundwa chombo kipya cha kupambana na biashara ya dawa za kulevya kabla ya hajAondoka madarakani, Oktoba mwaka huu.
10 years ago
VijimamboUNODC KUISAIDIA ZANZIBAR KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA KWA JAMII
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) limesema litafanya tathmini ya kina kupata njia muafaka za kuisaidia Zanzibar kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii.
Hayo yamesema...
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Zanzibar yadhimisha siku ya kupambana, usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya duniani
Waandamanaji katika maadhimisho ya siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani wakipita mbele ya mgeni rasmi katika kiwanja cha Kombawapya. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Rais wa watoto Tanzania Ameir Haji Khamis akitoa ujumbe wa watoto na dawa za kulevya kwenye sherehe za siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani katika kiwana cha Kombawapya.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib...
10 years ago
MichuziZANZIBAR YADHIMISHA SIKU YA KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI
Hayo ameyaeleza huko Kiwanja cha Kombawapya Zanzibar katika Maaadhimisho ya kupiga vita Utumiaji na Usafirishaji pamoja na Udhalililshaji wa Dawa za kulevya Duniani.
Amesema Zanzibar inakadiriwa kuwa na watumiaji wa dawa za kulevya zaidi ya 9000 idadi ambayo ni kubwa ukilinganisha na...
5 years ago
Michuzi
SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUPAMBANA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA
KAIMU Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini James Kaji amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza kwa asilimia 90 uingizwaji wa dawa za kulevya nchini kupitia ukanda wa Bahari ya Hindi na kwamba Serikali ya Awamu ya Tano imepongezwa na Umoja wa Mataifa kupitia Shirika lake la UNODC linaloshughulika na dawa hizo na uhalifu kutokana na kutambua juhudi zake katika kukomesha biashara hiyo.
Akizungumza leo...
5 years ago
Michuzi
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

10 years ago
Mtanzania13 Aug
Jaguar aiomba Serikali ipambane na dawa za kulevya
NAIROBI, Kenya
MSANII wa muziki nchini Kenya, Charles Kanyi ‘Jaguar’, ameiomba Serikali nchini humo ianzishe mashindano ya shule ili iondoe muda wa wanafunzi kutumia dawa za kulevya.
Jaguar alisema vijana wengi wanaokimbia shule wanakimbilia vijiweni kwa sababu hakuna michezo lakini kama michezo itaanzishwa katika shule itaondoa wanafunzi kukimbilia vijiweni.
“Serikali iangalie jinsi ya kuanzisha michezo shuleni ili kuwafanya vijana wajiingize kwenye michezo hiyo badala ya kurudi mitaani na...
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Tusidanganyike, Serikali inaijua fika mitandao ya ujangili, dawa za kulevya
9 years ago
StarTV23 Nov
Vijana walioathirika na Dawa Za Kulevya waishauri Serikali kutoa elimu
Vijana walioathirika na dawa za Kulevya nchini wameishauri Serikali ianze kutoa elimu ya kutambua athari ya utumiaji wa dawa hizo ili kukabiliana na athari ambayo inaweza kujitokeza hapo baadae na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.
Ushauri huo umetolewa na Vijana waliojitambua baada ya kutumia dawa za kulevya kwa muda mrefu ambazo zilisababisha baadhi yao kupoteza masomo, kazi na kutengwa na jamii.
Frank John ni Mkurugenzi wa kituo cha Ties that Bind Recovery ambaye pia ni muathirika wa dawa...