Vijana walioathirika na Dawa Za Kulevya waishauri Serikali kutoa elimu
Vijana walioathirika na dawa za Kulevya nchini wameishauri Serikali ianze kutoa elimu ya kutambua athari ya utumiaji wa dawa hizo ili kukabiliana na athari ambayo inaweza kujitokeza hapo baadae na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.
Ushauri huo umetolewa na Vijana waliojitambua baada ya kutumia dawa za kulevya kwa muda mrefu ambazo zilisababisha baadhi yao kupoteza masomo, kazi na kutengwa na jamii.
Frank John ni Mkurugenzi wa kituo cha Ties that Bind Recovery ambaye pia ni muathirika wa dawa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziYES Tanzania yaanzisha darasa kwa walioathirika na dawa za kulevya
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-isJR0FF91WY/XsfNL-DTMnI/AAAAAAALrRY/h9m2tzQBnGgMzLOr_b_AVtUtOCrb1rvEgCLcBGAsYHQ/s72-c/picmbatia.jpg)
MASHAIDI 19 KUTOA USHAIDI KESI YA DAWA ZA KULEVYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-isJR0FF91WY/XsfNL-DTMnI/AAAAAAALrRY/h9m2tzQBnGgMzLOr_b_AVtUtOCrb1rvEgCLcBGAsYHQ/s640/picmbatia.jpg)
Wakili wa serikali Costantine Kakula amedai hayo leo Mei 22, 2020 mbele ya Jaji Immaculata Banzi wakati akiwasomea hoja za awali washtakiwa hao.
Pia wakili Kakula amedai pamoja na mashahidi hao, upande wa mashtaka utawasilisha vielelezo mbalimbali ikiwemo mabegi...
10 years ago
Habarileo04 May
Pinda ahimiza elimu dawa za kulevya
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini nchini, waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.
10 years ago
Mtanzania04 May
Pinda: Tuwalinde vijana na dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewaomba viongozi wa dini nchini waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.
Wito huo ameutoa jana Dar es Salaaam, alipokuwa akizungumza na viongozi na waumini wa Kanisa la Moravian Tanzania kwenye ibada ya uzinduzi wa Jimbo la Mashariki la kanisa hilo uliofanyika makao makuu ya jimbo hilo, Mbagala Chamazi.
“Niwaombe sasa viongozi wa dini tuungane na...
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Dawa za kulevya zazidi kuwatesa vijana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s1600/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Mwenyekiti-wa-taasisi-ya-Care-and-HelpKaryn-David-akitoa-maada-mbalimbali-kwenye-kongamano-hilo..jpg)
TAASISI YA CARE AND HELP YATOA ELIMU DAWA ZA KULEVYA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-P_J2vTWwJu0/VUatRtSeIUI/AAAAAAABNYo/xtMEY6vM6vI/s72-c/Mizengo-Pinda.jpg)
WAZIRI MKUU: TUWALINDE VIJANA NA DAWA ZA KULEVYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P_J2vTWwJu0/VUatRtSeIUI/AAAAAAABNYo/xtMEY6vM6vI/s1600/Mizengo-Pinda.jpg)
Ametoa wito huo mchana (Jumapili, Mei 3, 2015), wakati akizungumza na viongozi na waumini wa Kanisa la Moravian Tanzania kwenye ibada ya uzinduzi wa Jimbo la Mashariki la kanisa hilo uliofanyika makao makuu ya jimbo hilo, Mbagala Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
“Niwaombe sasa viongozi wa dini...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Vijana 1,526 waathirika na dawa za kulevya Dar
JUMLA ya vijana 1,526 mkoani Dar es Salaam wanapatiwa huduma ya matibabu yaliyotokana na athari za matumizi ya dawa za kulevya. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Uchukuzi, Dk....