WAZIRI MKUU: TUWALINDE VIJANA NA DAWA ZA KULEVYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P_J2vTWwJu0/VUatRtSeIUI/AAAAAAABNYo/xtMEY6vM6vI/s72-c/Mizengo-Pinda.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini nchini waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.
Ametoa wito huo mchana (Jumapili, Mei 3, 2015), wakati akizungumza na viongozi na waumini wa Kanisa la Moravian Tanzania kwenye ibada ya uzinduzi wa Jimbo la Mashariki la kanisa hilo uliofanyika makao makuu ya jimbo hilo, Mbagala Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
“Niwaombe sasa viongozi wa dini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 May
Pinda: Tuwalinde vijana na dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewaomba viongozi wa dini nchini waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.
Wito huo ameutoa jana Dar es Salaaam, alipokuwa akizungumza na viongozi na waumini wa Kanisa la Moravian Tanzania kwenye ibada ya uzinduzi wa Jimbo la Mashariki la kanisa hilo uliofanyika makao makuu ya jimbo hilo, Mbagala Chamazi.
“Niwaombe sasa viongozi wa dini tuungane na...
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Dawa za kulevya zazidi kuwatesa vijana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s1600/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
10 years ago
Bongo Movies28 Jul
Batuli: Naumia Vijana Kuteketea na Dawa za Kulevya
Msanii wa Bongo movie Batuli ameonyesha kuumizwa mno na vijana ambao wanajiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na kupelekea kuharibu maisha yao pamoja na ndoto zao.
Batuli ameeleza hayo kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii wa Twitter alipokuwa akiwasihi watu kuunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya nchini Tanzania, ili kuokoa maisha ya vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.
Tatizo la dawa za kulevya limekuwa janga kubwa kwa kizazi cha sasa ambapo wahanga wakubwa wa tatizo hili ni...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Vijana 1,526 waathirika na dawa za kulevya Dar
JUMLA ya vijana 1,526 mkoani Dar es Salaam wanapatiwa huduma ya matibabu yaliyotokana na athari za matumizi ya dawa za kulevya. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Uchukuzi, Dk....
10 years ago
StarTV07 Jan
Vijana waathirika dawa za kulevya Arusha waomba msaada
Na Ramadhani Mvungi,
Arusha.
Makundi ya vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao wameathirika na dawa za kulevya jijini Arusha yameiomba Serikali na wadau wengine wawasaidie kuwapatia matibabu ya afya zao.
Hatua hii itawawezesha kuondokana na maradhi nyemelezi ambayo yanawasababishia vifo baada ya kinga za miili yao kudhoofika.
comprar kamagra baratoKatika zoezi la kuyashawishi makundi ya vijana yaweze kuondoka mitaani na kwenda kuishi kwenye vituo rasmi ili kupatiwa elimu...
9 years ago
StarTV23 Nov
Vijana walioathirika na Dawa Za Kulevya waishauri Serikali kutoa elimu
Vijana walioathirika na dawa za Kulevya nchini wameishauri Serikali ianze kutoa elimu ya kutambua athari ya utumiaji wa dawa hizo ili kukabiliana na athari ambayo inaweza kujitokeza hapo baadae na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.
Ushauri huo umetolewa na Vijana waliojitambua baada ya kutumia dawa za kulevya kwa muda mrefu ambazo zilisababisha baadhi yao kupoteza masomo, kazi na kutengwa na jamii.
Frank John ni Mkurugenzi wa kituo cha Ties that Bind Recovery ambaye pia ni muathirika wa dawa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3YC4NE0ACdM/VYE-gf6MYLI/AAAAAAAHgY8/AcarWeYmBx0/s72-c/337.jpeg)
WAZAZI WAMEASWA KUWAPOKEA VIJANA WAO WALIOAMUA KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi ametoa wosia huo wakati wa kuwapokea Vijana Sita wa Kijiji cha Fujoni walioamua kuacha kutumia Dawa za kulevya na kupata mafunzo watakayoyatumia kuwasomesha wenzao kuachana na Dawa hizo hapo katika...
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Wazazi waaswa kuwapokea vijana waoo walioamua kuacha matumizi ya dawa za kulevya
Balozi Seif akizungumza na baadhi ya Wananchi mara ya kukabidhiwa Vijana Sita walioamua kuachana na matumizi ya Dawa za kulevya waliokuwa wakipata mafunzo kwenye Kituo cha Mombasa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Sheha wa Shehia ya Fujoni Bwana Said Mgeni Bakari na wa kwanza kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “ B “ Nd. Hilika Khamis na Mke wa Mbunge wa Jimbo la Kitope Mama Asha Suleiman Iddi.
Na Mwandishi Wetu.
Wazazi wameaswa kuwa tayari...