Pinda ahimiza elimu dawa za kulevya
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini nchini, waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Mar
DC ahimiza vita dawa za kulevya
10 years ago
Mwananchi04 May
Pinda akerwa na ushirikina, dawa za kulevya
10 years ago
Mtanzania04 May
Pinda: Tuwalinde vijana na dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewaomba viongozi wa dini nchini waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.
Wito huo ameutoa jana Dar es Salaaam, alipokuwa akizungumza na viongozi na waumini wa Kanisa la Moravian Tanzania kwenye ibada ya uzinduzi wa Jimbo la Mashariki la kanisa hilo uliofanyika makao makuu ya jimbo hilo, Mbagala Chamazi.
“Niwaombe sasa viongozi wa dini tuungane na...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Pinda ahimiza kuchangia elimu
10 years ago
Habarileo09 Feb
Pinda ahimiza usimamizi ubora wa elimu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameziagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) kusimamia ubora wa elimu nchini, kwa kufuatilia na kusimamia utendaji wa walimu shuleni ili kupunguza idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu, ambalo limekuwa tatizo sugu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s1600/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Mwenyekiti-wa-taasisi-ya-Care-and-HelpKaryn-David-akitoa-maada-mbalimbali-kwenye-kongamano-hilo..jpg)
TAASISI YA CARE AND HELP YATOA ELIMU DAWA ZA KULEVYA
9 years ago
StarTV23 Nov
Vijana walioathirika na Dawa Za Kulevya waishauri Serikali kutoa elimu
Vijana walioathirika na dawa za Kulevya nchini wameishauri Serikali ianze kutoa elimu ya kutambua athari ya utumiaji wa dawa hizo ili kukabiliana na athari ambayo inaweza kujitokeza hapo baadae na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.
Ushauri huo umetolewa na Vijana waliojitambua baada ya kutumia dawa za kulevya kwa muda mrefu ambazo zilisababisha baadhi yao kupoteza masomo, kazi na kutengwa na jamii.
Frank John ni Mkurugenzi wa kituo cha Ties that Bind Recovery ambaye pia ni muathirika wa dawa...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...