Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ahimiza usimamizi ubora wa elimu

Wanafunzi wa Shule za Msingi za Dodoma wakiimba wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipozindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma mwishoni mwa wiki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameziagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) kusimamia ubora wa elimu nchini, kwa kufuatilia na kusimamia utendaji wa walimu shuleni ili kupunguza idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu, ambalo limekuwa tatizo sugu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda ahimiza kuchangia elimu

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa rai kwa Watanzania kujenga utamaduni wa kuchangia maendeleo ya sekta ya elimu, badala ya kujikita kuchangia sherehe za harusi.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda ahimiza elimu dawa za kulevya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini nchini, waitumie mikutano yao ya mahubiri kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya kwa waumini wao na Watanzania wote kwa ujumla.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi ahimiza ukusanyaji pamoja na usimamizi wa mapato ya Halmashauri ya Itigi

SAM_0397

Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Bwana Yahaya Masare (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na Katibu wa CCM wilaya ya Manyoni, Dafrosa aliyekwenda kushuhudia sherehe za uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi.

SAM_0432

Baadhi ya wananchi na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi,wilayani Manyoni waliohudhuria uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi, Mkoani Singida.

SAM_0422

Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi(CCM)Bwana Yahaya Masare(wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ahimiza jamii kushirikiana

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka taasisi zote za Serikali kushirikiana katika utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kupambana na mabadililiko ya tabianchi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mama Pinda ahimiza matumizi ya maziwa

MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amezihamasisha familia nchini kuhakikisha watoto wao wanatumia maziwa ili kusaidia ukuaji wao na kuimarisha ustawi mzuri wa afya zao. Wito huo ulitolewa jijini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ahimiza kilimo cha biashara

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka watanzania kutumia kilimo cha biashara kwa umakini ili kukuza uchumi wa nchi. Pinda, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wa kujadili masuala...

 

10 years ago

Habarileo

RC ahimiza elimu ya usalama barabarani

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe (pichani) amezishauri Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani na Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), zishirikiane kukitumia kipindi cha ubadilishaji wa namba za pikipiki kutoa elimu ya usalama barabarani.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Ubora wa elimu unaanza kwa mwalimu

TAYARI matokeo ya kidato cha sita yametoka, na wasichana ndiyo wameibuka kidedea kwa kuwaacha mbali wavulana, hii ina maana gani kwa mdau wa elimu.

Ukifuatilia ile orodha ya washindi wa nafasi za juu katika matokeo hayo utagundua asilimia kubwa ya wanafunzi wanatoka katika shule za kulipia ‘Private.’

Kuna ubishani unaendelea nchini kuhusu uwiano wa ufaulu kwa shule za serikali na binafsi, zamani mwanafunzi akifaulu kuendelea na masomo katika shule za serikali ilikuwa sherehe mtaani...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein ahimiza ushirikiano wa elimu na Comoro

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema historia ya kuanzishwa vyuo vikuu Zanzibar na Muungano wa Comoro inafanana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani