Ubora wa elimu unaanza kwa mwalimu
TAYARI matokeo ya kidato cha sita yametoka, na wasichana ndiyo wameibuka kidedea kwa kuwaacha mbali wavulana, hii ina maana gani kwa mdau wa elimu.
Ukifuatilia ile orodha ya washindi wa nafasi za juu katika matokeo hayo utagundua asilimia kubwa ya wanafunzi wanatoka katika shule za kulipia ‘Private.’
Kuna ubishani unaendelea nchini kuhusu uwiano wa ufaulu kwa shule za serikali na binafsi, zamani mwanafunzi akifaulu kuendelea na masomo katika shule za serikali ilikuwa sherehe mtaani...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mh. Ummy Mwalimu azitaka Halmashauri zote nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya utunzaji wa mazingira
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu wakati alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya manispaa za Temeke na Ilala za jijini Dar es Salaam.
Amekumbushia pia kila Manispaa kuzingatia agizo la Makamu wa Rais la kufanya usafi kila jumamosi ya mwanzo wa mwezi...
10 years ago
Habarileo09 Feb
Pinda ahimiza usimamizi ubora wa elimu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameziagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) kusimamia ubora wa elimu nchini, kwa kufuatilia na kusimamia utendaji wa walimu shuleni ili kupunguza idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu, ambalo limekuwa tatizo sugu.
11 years ago
Habarileo09 May
JK kuzindua mpango wa bil 100/- wa ubora wa elimu
SERIKALI inatarajia kuzindua mpango wa Sh bilioni mia moja unaolenga kufanya ubora wa elimu kuwa uhai wa madarasa hapa nchini. Mpango huo utazinduliwa na Rais Jakaya Kikwete Mei, 10 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Tunatumia vigezo vipi kupima ubora wa elimu yetu?
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Ndalichako azibana Nacte, TET kuhusu ubora wa elimu
10 years ago
Habarileo08 Mar
TBS kupanua elimu wigo wa viwango vya ubora
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeongeza kasi ya utoaji wa elimu ya viwango kwa wanawake wajasiriamali na watu wengine nchini ili kuwawezesha kupata nembo ya ubora wa bidhaa ambazo zitaweza kuingia katika soko la ushindani la ndani na nje nchi.
11 years ago
Michuzi06 Mar
Muungano wa Tanzania waendelea kuimarisha Ubora wa Elimu ya Juu

Na Jovina Bujulu-Maelezo, Dodoma Ubora wa elimu ya juu umeendelea kuimarika kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwepo kwa Taasisi za muungano kama Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bi. Samia Suluhu Hassan wakati wa mahojiano na Afisa Habari wa Idara...
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja