Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria kali kung’ata wahalifu wa mitandao

WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

SHERIA: Sheria gharama za uchaguzi kung’ata zaidi

>Serikali inakusanya nguvu kuhakikisha Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010, inang’ata wagombea wote watakaojihusisha na rushwa katika harakati zao za kusaka uongozi.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria gharama za uchaguzi kung’ata

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa na wagombea nchini kuzingatia Sheria ya Gharama ya Uchaguzi, kwani isipozingatiwa itawaathiri wengi watakaokiuka.

 

11 years ago

Habarileo

Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.

 

10 years ago

Mwananchi

Kukabiliana na tabia ya kung’ata kwa watoto

Tabia ya kung’ata kwa watoto ni miongoni mwa changamoto kubwa katika ulezi zinazowakabili wazazi na walezi wengi wa watoto. Kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akiumiza kichwa kuangalia ni jinsi gani anaweza kupambana na tatizo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kung’ata kucha hupoteza haiba ya urembo wako

Ingawa inawezekana wengine wakaona kitu cha ajabu, lakini ukweli ni kwamba kukata kucha kwa meno ni jambo linalofanywa na watu wengi.

 

9 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WATIKISA ANGA YA WANAUSALAMA MITANDAO

Wanausalama mtandao kote duniani walikamilisha tukio muhimu sana linalofanyika kila mwezi Oktoba (Cybersecurity Awareness Month) lenye dhamira ya kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao huku ikiaminika kupitia tukio hilo uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa asilimia kubwa. Mataifa mengi yakiwa na mafanikio makubwa kutokana na hili ambapo Tanzania pia kupitia baadhi ya Makampuni  ilipata kushiriki.


Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MH. RIDHIWANI KIKWETE JUU YA WAHALIFU WA MITANDAO

Kwanza nianze kwa kuwatakia Waislamu wenzangu wote Mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhani na Kheri za mfungo huu zimulike katika nyumba zote, nchi zote na wale wote ambao kwa namna moja au nyengine wameshindwa kufunga mwezi huu kwa sababu mbalimbali ikiwemo hali duni ya maisha, maradhi au kubanwa na hali ambazo zinawalazimu wasipate thawabu za funga.Ni imani Mungu mwenyezi atawaangazia na kufanya wepesi kuwaondoa katika hali hiyo.
Niwaombee salaam Wadogo zangu waliotekwa Nigeria, na wale...

 

9 years ago

Habarileo

Sheria kuzuia kelele yaanza kung’ata

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo. Kwa sasa mtu akitaka kufanya sherehe mtaani, kupiga muziki kwa kelele, kuendesha ngoma za kukesha za nusu uchi (vigodoro) au ‘bai koko’ au kufanya ibada kwa kelele mitaani, atapaswa kulipa Sh milioni 10.

 

11 years ago

Mwananchi

Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, imesema inaandaa sheria mpya ya usalama na uwezeshaji wa mitambo ya kuweka kumbukumbu ili kudhibiti matukio ya uhalifu wa mtandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani