Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria kuzuia kelele yaanza kung’ata

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo. Kwa sasa mtu akitaka kufanya sherehe mtaani, kupiga muziki kwa kelele, kuendesha ngoma za kukesha za nusu uchi (vigodoro) au ‘bai koko’ au kufanya ibada kwa kelele mitaani, atapaswa kulipa Sh milioni 10.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

SHERIA: Sheria gharama za uchaguzi kung’ata zaidi

>Serikali inakusanya nguvu kuhakikisha Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010, inang’ata wagombea wote watakaojihusisha na rushwa katika harakati zao za kusaka uongozi.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria gharama za uchaguzi kung’ata

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa na wagombea nchini kuzingatia Sheria ya Gharama ya Uchaguzi, kwani isipozingatiwa itawaathiri wengi watakaokiuka.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria kali kung’ata wahalifu wa mitandao

WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ashupalia sheria ya kuzuia bodaboda

MADEREVA wa pikipiki (bodaboda) jijini Dar es Salaam wamelalamikia kitendo cha Jeshi la Polisi kuwazuia kuingia ndani ya kivuko cha Kigamboni kwa madai ya kuziondoa pikipiki hizo katikati ya jiji....

 

10 years ago

Mwananchi

Karibu sheria ya kuzuia ulafi wa viongozi

 Tuliwahi kusema katika safu hii kuwa, iwapo Watanzania wangetakiwa kutoa maoni kuhusu taasisi ya umma ambayo wanadhani iliundwa kulinda masilahi ya viongozi badala ya wananchi, bila shaka wengi wangeinyooshea vidole Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi.

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa afagilia sheria kuzuia ulafi wa viongozi

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Benjamin MkapaRAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sheria ya mtandao yaanza Tanzania

Sheria ya Makosa ya kimitandao imeanza kufanya kazi leo nchini Tanzania

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga sheria ya mtandao yaanza

Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya  Sheria ya Makosa ya Uhalifu wa Kimtandao umeanza, huku Mahakama Kuu  nchini ikiipa Serikali siku 14 kuwasilisha mahakamani hapo majibu yake ya  utetezi kuhusiana na kesi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sheria mpya yaanza kutumika TZ licha ya upinzani

Leo ni mwanzo wa kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandaoni iliyoleta mzozo Tanzania na sawa waweza kutupwa jela jihadhari

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani