TAARIFA YA MH. RIDHIWANI KIKWETE JUU YA WAHALIFU WA MITANDAO

Kwanza nianze kwa kuwatakia Waislamu wenzangu wote Mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhani na Kheri za mfungo huu zimulike katika nyumba zote, nchi zote na wale wote ambao kwa namna moja au nyengine wameshindwa kufunga mwezi huu kwa sababu mbalimbali ikiwemo hali duni ya maisha, maradhi au kubanwa na hali ambazo zinawalazimu wasipate thawabu za funga.Ni imani Mungu mwenyezi atawaangazia na kufanya wepesi kuwaondoa katika hali hiyo.
Niwaombee salaam Wadogo zangu waliotekwa Nigeria, na wale...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
9 years ago
Ykileo
WAHALIFU MTANDAO WATIKISA ANGA YA WANAUSALAMA MITANDAO

Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na...
10 years ago
Habarileo30 Mar
Sheria kali kung’ata wahalifu wa mitandao
WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.
11 years ago
Ykileo
FACEBOOK YAPINGA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAHALIFU MTANDAO

Mtandano wa kijamii wa Facebook ulitakiwa kuwasilisha taarifa za wateja wake ambao walihusishwa na uhalifu mtandao wa kujipatia pesa kinyume na sharia kupitia mtandao wa kijamii wa facebook.
Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umekata rufaa dhidi ya amri hiyo ya mahakama ambapo ilitakiwa kuwasilisha taarifa za watu takriban 400 waliouhusika...
10 years ago
VijimamboWAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA NA MAKOSA YA MITANDAO
10 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA ZA MAKOSA YA MITANDAO
11 years ago
Habarileo23 Mar
Ridhiwani ahimiza usomaji taarifa za mapato
MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amewataka viongozi wa serikali za vijiji kuwa na tabia ya kutoa taarifa za mapato na matumizi kila mwaka, kwani huo ndio utawala bora na wenye uwazi kwa kila mwananchi.
10 years ago
MichuziTCRA YAWAPIGA MSASA WASANII JUU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA MAWASILIANO