Ridhiwani ahimiza usomaji taarifa za mapato
MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amewataka viongozi wa serikali za vijiji kuwa na tabia ya kutoa taarifa za mapato na matumizi kila mwaka, kwani huo ndio utawala bora na wenye uwazi kwa kila mwananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Waziri ahimiza usomaji vitabu kwa watoto
WADAU wa elimu wametakiwa kuwasaidia watoto kwa kuwawezesha kupata na kutumia stadi mbalimbali za lugha kupitia usomaji wa vitabu ili kuwawezesha kufanya vizuri shuleni. Rai hiyo ilitolewa jijini Dar es...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi ahimiza ukusanyaji pamoja na usimamizi wa mapato ya Halmashauri ya Itigi
Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Bwana Yahaya Masare (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na Katibu wa CCM wilaya ya Manyoni, Dafrosa aliyekwenda kushuhudia sherehe za uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi.
Baadhi ya wananchi na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi,wilayani Manyoni waliohudhuria uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi, Mkoani Singida.
Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi(CCM)Bwana Yahaya Masare(wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi...
5 years ago
Michuzi
UWASILISHAJI WA TAARIFA ZA MAPATO WAFANYIKA ZANZIBAR
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaanza mpango wa kuzitoza kodi baadhi ya makampuni ambazo hazilipi kodi kwa kisingizio cha kupata hasara katika biashara zao.
Hayo ameyasema Afisa Mwandamizi wa Huduma na Elimu kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa upande wa Zanzibar Shuweikha Salum Khalfani huko Ukumbi wa Sanaa Rahaleo wakati akiwasilisha mada ya taarifa za Mapato ambayo imewashirkisha watembezaji watalii.
Amesema kuwa kumekuwepo na changamoto ya ulipaji...
11 years ago
Michuzi
TAARIFA YA MH. RIDHIWANI KIKWETE JUU YA WAHALIFU WA MITANDAO

Niwaombee salaam Wadogo zangu waliotekwa Nigeria, na wale...
11 years ago
GPL
TAARIFA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) KUHUSU MGOMO WA WAFANYABIASHARA
5 years ago
Michuzi
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Ratiba kama mbinu ya usomaji kwa wanafunzi