Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWASILISHAJI WA TAARIFA ZA MAPATO WAFANYIKA ZANZIBAR

Na Kijakazi Abdalla
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaanza mpango wa kuzitoza kodi baadhi ya makampuni ambazo hazilipi kodi kwa kisingizio cha kupata hasara katika biashara zao.
Hayo ameyasema Afisa Mwandamizi wa Huduma na Elimu kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa upande wa Zanzibar Shuweikha Salum Khalfani huko Ukumbi wa Sanaa Rahaleo wakati akiwasilisha mada ya taarifa za Mapato ambayo imewashirkisha watembezaji watalii.
Amesema kuwa kumekuwepo na changamoto ya ulipaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA MADAWA ZANZIBAR WAFANYIKA ZANZIBAR BEACH RESORT

 Mrajisi Bodi ya Chakula, Dwa na Vipodozi  Zanzibar Dkt. Burhani Othman Simai  akizungumza na wadau wa madawa  Zanzibar katika mkutano wa uwiano wa udhibiti wa bidhaa hizo kwa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni.
NA RAMADHANI ALI/MAELEZO ZANZIBAR     BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) imeandaa miongozo ya utoaji huduma bora katika kufanikisha  Mpango wa uwiano wa Itifaki ya pamoja kwa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika...

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?

>Tumesikia matamshi ya mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CCM, Ally Mohammed Keissy alipochangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisema Zanzibar haichangii katika Muungano, hivyo haina haki ya kuhoji mambo ya upande wa pili.

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani ahimiza usomaji taarifa za mapato

MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amewataka viongozi wa serikali za vijiji kuwa na tabia ya kutoa taarifa za mapato na matumizi kila mwaka, kwani huo ndio utawala bora na wenye uwazi kwa kila mwananchi.

 

11 years ago

GPL

TAARIFA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) KUHUSU MGOMO WA WAFANYABIASHARA

Mamalaka ya Mapato Tanzania inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wafanyabiashara kwa ujumla Kuwa inasikitishwa na mgomo wa wafanyabishara kwa kufunga maduka maeneo mbali mbali nchini. Ifahamike kuwa Matumizi ya mashine ya EFD ni jambo la kisheria na lilipitishwa na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2011. Pamoja na sheria kupitishwa, viongozi wakuu wa nchi walikwisha litolea tamko kwa nyakati tofauti kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MAALUM WA ELIMU YA SACCOS WAFANYIKA ZANZIBAR.

 Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmedi mohd akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanzibar. Mgeni Rasmi Mrajisi wa vyama vya Ushirika Hamis Daudi Simba akitoa hotuba ya ufunguzi katika mkutano wa maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanziobar,kulia yake ni Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmed Mohd na kushoto yake ni Katibu wa Elimu Saccos Salma Simai.Baadhi ya Wanachama wa Elimu Saccos waliohudhuria katika Mkutano maalum...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA WAFANYIKA ZANZIBAR.

Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi wa Vyama 22 vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Bwawani Zanzibar, wa kwanza Jaji Lubuva Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Mzirai na Msajili Msaidi wa Vyama vya Siasa Tanzani Mhe Ibrahim Mkwawa.Mmoja wa Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania akiuombea Mkutano huo wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika...

 

11 years ago

Habarileo

Mapato ya Muungano Zanzibar hadharani

FEDHA zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana na Malipo ya Kodi ya Mishahara (Paye).

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA YA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIKI WA USAMBAZAJI WA DAWA WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar.Mfamasia mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar. Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki
Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya kielectroniki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani