Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?

>Tumesikia matamshi ya mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CCM, Ally Mohammed Keissy alipochangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisema Zanzibar haichangii katika Muungano, hivyo haina haki ya kuhoji mambo ya upande wa pili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mapato ya Muungano Zanzibar hadharani

FEDHA zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana na Malipo ya Kodi ya Mishahara (Paye).

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Miaka 50 ya Muungano na uhuru wa habari

>Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha nusu karne ya Muungano wa iliyokuwa Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika sherehe zilizofanyika Aprili 26 Uwanja wa Uhuru, Dar es  Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAPATA MSAADA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA YA SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mkurugenzi Sera na Mipango wa Wizara ya Biashara ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Sungula kulia akimkabidhi Funguo ya Gari Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Zanzibar Julian Raphael,kushoto ni Elizabeth Lukaza Mchambuzi wa Shirika la UNDP Tanzania.Hafla imefanyika leo Wizara ya Biashara Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.  Mkurugenzi Sera na Mipango wa Wizara ya Biashara ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Sungula kulia akimkabidhi Vifaa kwa Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Ngoma Africa Band a.k.a FFU ikiwa kazini. BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia kila la heri Watanzania wote walio nyumbani na nje heri na baraka, amani, mshikamano na upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya Muungano wa Tanzania. Tudumishe Muungano wetu daima...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Zanzibar...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani