Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA ZANZIBAR: Miaka 50 ya Muungano na uhuru wa habari

>Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha nusu karne ya Muungano wa iliyokuwa Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika sherehe zilizofanyika Aprili 26 Uwanja wa Uhuru, Dar es  Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

10 years ago

GPL

SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Ngoma Africa Band a.k.a FFU ikiwa kazini. BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia kila la heri Watanzania wote walio nyumbani na nje heri na baraka, amani, mshikamano na upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya Muungano wa Tanzania. Tudumishe Muungano wetu daima...

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?

>Tumesikia matamshi ya mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CCM, Ally Mohammed Keissy alipochangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisema Zanzibar haichangii katika Muungano, hivyo haina haki ya kuhoji mambo ya upande wa pili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar kujenga mnara miaka 50 ya Muungano

p>SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, imeamua kujenga mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi. Akizungumzana waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu...

 

10 years ago

Habarileo

Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Waasisi wa Muungano, Mwalimu Julius Nyerere (kulia) na Abeid Aman Karume wakisaini hati za Muungano mwaka 1964.RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA 50

Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati,  Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.…

 

11 years ago

Michuzi

SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Bend maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "NGOMA AFRICA BAND" aka FFU Ughaibuni,yenye makao yake kule nchini Ujerumani,inaungana na watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea "MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA",Ngoma Africa band inatoa salam za heri na shangwe kwa watanzania wote popote duniani.
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
                                UDUMU UMOJA WA KITAIFA
                                UDUMU...

 

11 years ago

GPL

SALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, NGOMA  AFRICA a.k.a FFU Ughaibuni, yenye makao yake nchini Ujerumani, inaungana na Watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA. Ngoma Africa Band inatoa salamu za heri na shangwe kwa Watanzania wote popote duniani. ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR =...

 

10 years ago

Dewji Blog

Heri ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tuuenzi na tuulinde

10430850_10153274519206810_1803084075348700092_n

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 51 iliyopita. Modewjiblog inaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia Happy Muungano Day!

nyerere_with_karume

Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Sheikh Abeid Aman Karume wakibadilishana hati za muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani