Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) KUHUSU MGOMO WA WAFANYABIASHARA

Mamalaka ya Mapato Tanzania inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wafanyabiashara kwa ujumla Kuwa inasikitishwa na mgomo wa wafanyabishara kwa kufunga maduka maeneo mbali mbali nchini. Ifahamike kuwa Matumizi ya mashine ya EFD ni jambo la kisheria na lilipitishwa na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2011. Pamoja na sheria kupitishwa, viongozi wakuu wa nchi walikwisha litolea tamko kwa nyakati tofauti kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)


 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu KijajiNaibu Waziri wa Fedha akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na menejimenti ya TRA. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bw. Benard Mchomvu na Kushoto kwake ni Naibu Kamishna Mkuu Bw. Lusekelo Mwaseba.---Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji ametembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kufahamiana na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Uongozi wa TRA na kusisitiza msimamo wa serikali ya awamu ya tano katika suala...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Bwana Rished BADE kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished BADE kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).


Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni  Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014.  Bwana BADE anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Harry KITILYA ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba,2013.


Kabla ya uteuzi huo, Bwana BADE alikuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangu Septemba,2012 na baadaye kukaimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgomo wa wafanyabiashara watikisa

WAFANYABIASHARA wa maduka kwenye mikoa mbalimbali nchini wamegoma kufungua maduka yao kwa madai kuwa serikali imeshindwa kusikiliza kilio chao cha kutaka mashine za kielektroniki (EFD) zishushwe bei. Mashine hizo zinatolewa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wafanyabiashara wasitisha mgomo


NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
Mgomo huo uliodumu kwa saa kadhaa, ulileta usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi waliofika kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali, hususan maeneo ya Kariakoo.
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo

WAFANYABIASHARA  ya  maduka  katika  Halmashauri  ya Manispaa  ya  Songea, mkoani  Ruvuma, wameingia  katika  siku  ya  tatu  ya  mgomo  usiokuwa   na  kikomo, hali ambayo imesababisha  adha  kubwa  kwa  wakazi  wa  manispaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani