Wafanyabiashara wasitisha mgomo

NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).Mgomo huo uliodumu kwa saa kadhaa, ulileta usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi waliofika kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali, hususan maeneo ya Kariakoo.
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Nov
Wafanyakazi NatOil wasitisha mgomo
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Mafuta ya National Oil (NatOil), wameitisha mgomo usio na kikomo wakishinikiza kukutana na mmiliki wa kampuni hiyo kutoa malalamiko wanayodai yameshindwa kufanyiwa kazi na uongozi uliopo.
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Wanajeshi wa Cameroon wasitisha mgomo
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Walimu wasitisha mgomo Kenya
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Wasio makaazi wasitisha mgomo Brazil
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Madereva wa bodaboda Mtwara wasitisha mgomo
MADEREVA pikipiki ‘bodaboda’ mkoani Mtwara ambao juzi waligoma kubeba abiria kupinga kitendo cha askari polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kuwakamata na kuwapiga bila sababu za msingi, jana wamerejea...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa
WAFANYABIASHARA wa maduka kwenye mikoa mbalimbali nchini wamegoma kufungua maduka yao kwa madai kuwa serikali imeshindwa kusikiliza kilio chao cha kutaka mashine za kielektroniki (EFD) zishushwe bei. Mashine hizo zinatolewa...
11 years ago
GPL
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAHAIRISHA MGOMO
11 years ago
Mtanzania02 Sep
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa Kariakoo

Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAFANYABIASHARA wa maduka ya soko la Kariakoo wameanza mgomo kwa muda usiojulikana kuanzia jana, sambamba na kuishinikiza Serikali kupunguza kodi ya asilimia 18 wanayotozwa kupitia mashine za kielektroniki (EFDs).
Wamefikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya TRA kutangaza...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...