Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi wa Cameroon wasitisha mgomo

Wanajeshi wa Cameroon waliohudumu katika jeshi la Umoja wa Mataifa katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati wasitisha mgomo baada ya kulipwa mishahara yao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wafanyabiashara wasitisha mgomo


NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
Mgomo huo uliodumu kwa saa kadhaa, ulileta usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi waliofika kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali, hususan maeneo ya Kariakoo.
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi NatOil wasitisha mgomo

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Mafuta ya National Oil (NatOil), wameitisha mgomo usio na kikomo wakishinikiza kukutana na mmiliki wa kampuni hiyo kutoa malalamiko wanayodai yameshindwa kufanyiwa kazi na uongozi uliopo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Walimu wasitisha mgomo Kenya

Mgomo wa walimu nchini Kenya hatimaye umesitishwa.Walimu sasa watarudi shuleni ili kuendelea kufunza siku ya jumatatu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasio makaazi wasitisha mgomo Brazil

Watu wasio na makaazi waliokuwa wakishiriki maandamano makubwa Brazil sasa wakubaliana na Serikali kuyasitisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madereva wa bodaboda Mtwara wasitisha mgomo

MADEREVA pikipiki ‘bodaboda’ mkoani Mtwara ambao juzi waligoma kubeba abiria kupinga kitendo cha askari polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kuwakamata na kuwapiga bila sababu za msingi, jana wamerejea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 2 wa Cameroon watimuliwa kazi

Viongozi wakuu wawili wa kijeshi nchini Cameroon wametimuliwa kazi baada ya mashambulizi ya kundi la Boko Haram

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana wachangia damu wanajeshi Cameroon

Mamia ya vijana nchini Cameroon,wamejitolea kuwapa damu wanajeshi wanaopambana na kundi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo

 

10 years ago

KwanzaJamii

WANAJESHI 480 WA NIGERIA WATOROKEA CAMEROON

Wanajeshi 480 wa Nigeria wametorokea maisha yao nchi jirani ya Cameroon kufuatia makabiliano makali dhidi ya wapiganaji wa kundi la Kiislamu la Boko Haram. Msemaji wa Jeshi la Cameroon Luteni Kanali Didier Badjek amethibitisha kisa hicho na kusema kuwa wamepokonywa silaha na sasa wamewekwa katika shule . Mapigano hayo yanaendelea karibu na mji ulioko mpakani wa Gamboru Ngala. Mapigano hayo yanawadia saa chache tu baada ya wapiganaji hao wa Boko Haram kutoa kanda ya video ambayo walitangaza...

 

11 years ago

Mwananchi

Fisi wasitisha mradi wa nguruwe

Mradi wa kufuga nguruwe uliokuwa ukitekelezwa na Kikundi cha Twaweza, Kata ya Mwendakulima, wilayani Kahama umefungwa baada ya fisi kuvamia zizi na kuwatafuna wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani