Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO MAALUM WA ELIMU YA SACCOS WAFANYIKA ZANZIBAR.

 Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmedi mohd akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanzibar. Mgeni Rasmi Mrajisi wa vyama vya Ushirika Hamis Daudi Simba akitoa hotuba ya ufunguzi katika mkutano wa maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanziobar,kulia yake ni Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmed Mohd na kushoto yake ni Katibu wa Elimu Saccos Salma Simai.Baadhi ya Wanachama wa Elimu Saccos waliohudhuria katika Mkutano maalum...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WAFANYIKA DAR ES SALAAM

5Kaimu Katibu Mkuu – Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama) akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika ukumbi wa hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. Kulia kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Lilian Denis.3Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (aliyesimama) akichangia mada katika mkutano maalumu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA MADAWA ZANZIBAR WAFANYIKA ZANZIBAR BEACH RESORT

 Mrajisi Bodi ya Chakula, Dwa na Vipodozi  Zanzibar Dkt. Burhani Othman Simai  akizungumza na wadau wa madawa  Zanzibar katika mkutano wa uwiano wa udhibiti wa bidhaa hizo kwa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni.
NA RAMADHANI ALI/MAELEZO ZANZIBAR     BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) imeandaa miongozo ya utoaji huduma bora katika kufanikisha  Mpango wa uwiano wa Itifaki ya pamoja kwa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MKUTANO MKUU MAALUM WA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA USIKU HUU

 Mmoja wa waomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM, waliotinga tatu bora, John Magufuli akingia katika ukumbi wa Kisasa wa mikutano wa CCM, wakati wa mkutano mkuu wa CCM, uliofanya uchaguzi leo usiku wa kupata mgombea mmoja wa urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Picha nyingine zinazofuata ni za matukio mbalimbali ya mkutano huo mkuu maalum wa CCM. Kumradhi hazitakuwa na maelezo kutokana na muda, maelezo. Na kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA WAFANYIKA ZANZIBAR.

Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi wa Vyama 22 vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Bwawani Zanzibar, wa kwanza Jaji Lubuva Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Mzirai na Msajili Msaidi wa Vyama vya Siasa Tanzani Mhe Ibrahim Mkwawa.Mmoja wa Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania akiuombea Mkutano huo wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili wa amani na Maendeleo endelevu wafanyika zanzibar

Wakati umefika sasa kwa Dunia kujikita zaidi katika kukabiliana na migogoro isiyokwisha kwenye baadhi ya Mataifa inayozaa makundi ya wakimbizi kutokana na vita vinavyosababishwa na ukabila na mfumo mbaya wa siasa unaozalisha wanawake wajane na watoto yatima na kuwafanya kukosa haki zao za msingi za kibinaadamu katika kuishi maisha ya salama na furaha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein alisema hayo wakati akiufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku Mbili...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MAJESHI YA ANGA YALIYOPO KUSINI MWA AFRIKA WAFANYIKA ZANZIBAR

Meja Generali Joseph Furaha Kapwani akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Utangulizi wa Mkutano wa Majeshi ya Anga yalioko chini ya Kusini mwa Afrika, unaotarajiwa kufunguliwa kesho katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar akizungumza na Wajumbe wa Mkutano huo.Wajumbe washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Meja Generali Joseph Furaha, akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanziba.Wajumbe kutoka Angola wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII ZANZIBAR (ZATI) WAFANYIKA MJINI UNGUJA

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma (Mabodi) akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) katika Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya wawekezaji wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) Bi. Pamela Mattheuu (aliesimama) akielezea hali ya Utalii ilivyo kwa sasa na kupanga mikakati ya kuitangaza zaidi sekta hiyo, huko Hoteli ya Double Tree by Hilton Shangani Mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AONGOZA MKUTANO WA SIKU MOJA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR(NEC)


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar leo Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano kuhusu wahamiaji wafanyika Ulaya

Mawaziri kutoka nchi za Ulaya wanakutana nchini Luxembourg hii leo kuzungumzia mipango ya kukabiliana na maelfu ya wahamiaji

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani