Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARSHA YA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIKI WA USAMBAZAJI WA DAWA WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar.Mfamasia mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar. Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki
Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya kielectroniki...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA MFUMO MPYA WA USAMBAZAJI DAWA ZANZIBAR (eLMIS) KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA WA WIZARA YA AFYA.

 Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar. Mfamasia Mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar.  Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki .  Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mfumo mpya wa kusambaza dawa Dodoma

MKOA wa Dodoma katika kuondoa tatizo la dawa katika zahanati na vituo vya afya vijijini, imeanzisha mfumo maalumu ujulikanao kama ‘Prime Vendor’ (PV) utakaowezesha zahati na vituo vya afya kusambaziwa dawa na msambazaji binafsi, chini ya mpango wa ubia kati serikali na sekta binafsi (PPP).

 

10 years ago

Vijimambo

Tanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme

 Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco wakati wa warsha ya siku moja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere. Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Usambazaji na Huduma kwa wateja kutoka Tanesco, Mhandisi Sophia Mgonja(mwenye nguo ya rangi nyekundu)...

 

11 years ago

GPL

WAKULIMA WATESWA NA USAMBAZAJI DAWA FEKI ZA KILIMO

Baadhi ya dawa zinazodaiwa kuwa feki. *WAIOMBA SERIKALI KUWADHIBITI WACHAKACHUAJI Na Mwandishi Wetu
TANGU kuanzishwa kwa kauli mbiu ya kilimo kwanza, kumekuwa na juhudi kubwa zinazofanywa na serikali kuhakikisha wakulima wanaingia kwenye kilimo cha kisasa. Juhudi hizo zimetiliwa nguvu zaidi katika kuimarisha upatikanaji wa pembejeo za kilimo ili kuwafanya wakulima kuzitumia na kuimarisha kilimo chao. Pamoja na juhudiz hizo za...

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA YA MFUMO WA KIMATAIFA WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA

Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu- TMA Dkt. Agnes Kijazi akipata utambulisho wa washiriki wa warsha ya Mfumo wa Kimataifa wa huduma za hali ya hewa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa Barani Afrika na uwasilishwaji wa ripoti ya IPCC kama ilivyojadiliwa katika mkutano wa 20 (COP20) wa mabadiliko ya hali ya hewa iliyofanyika, Kibaha. Tarehe 20 Januari 2015.Bi. Juwalia Mshana akiwa mmoja wa washiriki wa warsha ya Mfumo wa Kimataifa wa huduma za hali ya hewa katika kukabiliana...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA MADAWA ZANZIBAR WAFANYIKA ZANZIBAR BEACH RESORT

 Mrajisi Bodi ya Chakula, Dwa na Vipodozi  Zanzibar Dkt. Burhani Othman Simai  akizungumza na wadau wa madawa  Zanzibar katika mkutano wa uwiano wa udhibiti wa bidhaa hizo kwa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni.
NA RAMADHANI ALI/MAELEZO ZANZIBAR     BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) imeandaa miongozo ya utoaji huduma bora katika kufanikisha  Mpango wa uwiano wa Itifaki ya pamoja kwa Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

TMA YAANDAA WARSHA YA MAFUNZO YA UTUMIAJI WA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA KIDIGITAL

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Bw. Ibrahim Nassib (kulia) akifungua warsha ya mafunzo ya utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa kidigital wa ukusanyaji, uandaaji na utumaji wa taarifa za uangazi wa hali ya hewa (DIGITAL METEOROLOGICAL OBSERVATORY (DMO)) na mfumo wa usambazaji wa huduma za hali ya hewa kwa usafiri wa anga (METEOROLOGICAL AVIATION INFORMATION SYSTEM (MAIS), kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri Dkt. Hamza Kabelwa Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani