Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKULIMA WATESWA NA USAMBAZAJI DAWA FEKI ZA KILIMO

Baadhi ya dawa zinazodaiwa kuwa feki. *WAIOMBA SERIKALI KUWADHIBITI WACHAKACHUAJI Na Mwandishi Wetu
TANGU kuanzishwa kwa kauli mbiu ya kilimo kwanza, kumekuwa na juhudi kubwa zinazofanywa na serikali kuhakikisha wakulima wanaingia kwenye kilimo cha kisasa. Juhudi hizo zimetiliwa nguvu zaidi katika kuimarisha upatikanaji wa pembejeo za kilimo ili kuwafanya wakulima kuzitumia na kuimarisha kilimo chao. Pamoja na juhudiz hizo za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walalama kuuziwa dawa feki

WAKULIMA kutoka maeneo ya Mbinga, Mpanda, Kigoma na Bukoba wameilalamikia Wizara ya Kilimo na Chakula kwa kuwaruhusu baadhi ya wafanyabiashara kuuza dawa feki za kilimo. Wakizungumza na waandishi wa habari...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi na kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD)hasara ya zaidi ya Sh.milioni 148.3.   Mbali na Madabida washtakiwa wengine ni, Meneja Uendeshaji Seif Shamte, aliyekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Usambazaji wa sukari Mbeya wamkera Waziri wa Kilimo

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi jana alikerwa baada ya kuziona tani 700 za sukari ya Tanzania zikiwa zimerundikana kwenye ghala jijini hapa kwa madai ya kukosa soko.

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA YA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIKI WA USAMBAZAJI WA DAWA WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar.Mfamasia mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar. Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki
Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya kielectroniki...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA MFUMO MPYA WA USAMBAZAJI DAWA ZANZIBAR (eLMIS) KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA WA WIZARA YA AFYA.

 Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar. Mfamasia Mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar.  Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki .  Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbegu feki za mahindi zawaliza wakulima Hai

WAKATI msimu wa mwaka huu wa kilimo mkoani Kilimanjaro ukionekana kuwa na neema ya mvua za kutosha, Wilaya ya Hai imekuwa tofauti kutokana na baadhi ya wakulima kuuziwa mbegu feki...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Dawa feki za malaria marufuku

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema  maduka ya dawa yatakayobainika kuuza dawa za malaria zilizokwisha muda yatafungiwa na kunyang’anywa leseni ya biashara. Akizungumza katika mkutano wa kujadili malaria na mikakati yake uliofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, Dk Rashid alisema uuzaji wa dawa zilizokwisha muda  na zilizopigwa marufuku kama tiba ya malaria, ndicho chanzo cha kuzorota kwa vita dhidi ya ugonjwa huo. “Mmiliki wa duka ambaye kwa kawaida ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani