Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima walalama kuuziwa dawa feki

WAKULIMA kutoka maeneo ya Mbinga, Mpanda, Kigoma na Bukoba wameilalamikia Wizara ya Kilimo na Chakula kwa kuwaruhusu baadhi ya wafanyabiashara kuuza dawa feki za kilimo. Wakizungumza na waandishi wa habari...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKULIMA WATESWA NA USAMBAZAJI DAWA FEKI ZA KILIMO

Baadhi ya dawa zinazodaiwa kuwa feki. *WAIOMBA SERIKALI KUWADHIBITI WACHAKACHUAJI Na Mwandishi Wetu
TANGU kuanzishwa kwa kauli mbiu ya kilimo kwanza, kumekuwa na juhudi kubwa zinazofanywa na serikali kuhakikisha wakulima wanaingia kwenye kilimo cha kisasa. Juhudi hizo zimetiliwa nguvu zaidi katika kuimarisha upatikanaji wa pembejeo za kilimo ili kuwafanya wakulima kuzitumia na kuimarisha kilimo chao. Pamoja na juhudiz hizo za...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Watakaowakopesha wakulima kuuziwa pamba’

Wadau wa Bodi ya Pamba mkoani Geita wamekubaliana kuwa kampuni zilizokopesha pembejeo kwa wakulima ndizo zitakazopewa leseni ya kununua pamba kwa kuzingatia ushiriki wa kampuni hizo katika kilimo cha mkataba.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walalama uhaba wa dawa, huduma duni

Mikoani. Uhaba wa dawa unaozikabili hospitali mbalimbali za Serikali nchini, umesababisha kilio kutoka kwa wagonjwa ambao wamekuwa wakifika kutafuta tiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbegu feki za mahindi zawaliza wakulima Hai

WAKATI msimu wa mwaka huu wa kilimo mkoani Kilimanjaro ukionekana kuwa na neema ya mvua za kutosha, Wilaya ya Hai imekuwa tofauti kutokana na baadhi ya wakulima kuuziwa mbegu feki...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Dawa feki za malaria marufuku

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema  maduka ya dawa yatakayobainika kuuza dawa za malaria zilizokwisha muda yatafungiwa na kunyang’anywa leseni ya biashara. Akizungumza katika mkutano wa kujadili malaria na mikakati yake uliofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, Dk Rashid alisema uuzaji wa dawa zilizokwisha muda  na zilizopigwa marufuku kama tiba ya malaria, ndicho chanzo cha kuzorota kwa vita dhidi ya ugonjwa huo. “Mmiliki wa duka ambaye kwa kawaida ni...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ahoji udhibiti wa dawa feki

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za kisheria kwa wafanyabiashara na kampuni ambazo zimekuwa zikiingiza dawa bandia za binadamu. Alitoa kauli hiyo bungeni leo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kilwa Kaskazini Murtaza Mangungu (CCM).

 

11 years ago

Mwananchi

Vilio mazishi ya aliyeuziwa dawa feki Ocean Road

Historia ya ugonjwa uliosababisha kifo cha Pendo Shayo, ambaye anadaiwa kuuziwa dawa feki na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), ilisababisha vilio na majonzi wakati wa maziko yake jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walalamikia ubora wa dawa

BAADHI ya wakulima kutoka mkoani Mbeya  wamelalamikia dawa za kilimo aina ya Karate 50 ec na Selecron 720 ec kuwa hazina ubora. Wakulima hao waliowakilishwa na John Mwaipopo, walisema dawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani