Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Watakaowakopesha wakulima kuuziwa pamba’

Wadau wa Bodi ya Pamba mkoani Geita wamekubaliana kuwa kampuni zilizokopesha pembejeo kwa wakulima ndizo zitakazopewa leseni ya kununua pamba kwa kuzingatia ushiriki wa kampuni hizo katika kilimo cha mkataba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walalama kuuziwa dawa feki

WAKULIMA kutoka maeneo ya Mbinga, Mpanda, Kigoma na Bukoba wameilalamikia Wizara ya Kilimo na Chakula kwa kuwaruhusu baadhi ya wafanyabiashara kuuza dawa feki za kilimo. Wakizungumza na waandishi wa habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pamba iwakomboe wakulima

PAMBA ni miongoni mwa mazao  ya biashara nchini ambayo yamekuwa chimbuko la maendeleo yetu hata tukawa na viwanda. Pamoja na pamba yapo mazao ya korosho, kahawa,mkonge,alizeti na ufuta ambapo mengine...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa pamba wazidi kukandamizwa

Wakulima wa pamba Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameilalamikia Bodi ya Pamba kushindwa kuwasimamia na kuwatetea kwa kile walichodai kupandishwa bei ya mbegu ya zao hilo kutoka Sh 300 hadi 500.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa pamba walilia pembejeo

>Wakulima wa zao la pamba mkoani Mara, wamelalamikia ukosefu wa pembejeo, hususani dawa ya kunyunyuzi zao hilo pamoja na kilimo cha mkataba kwa madai sasa hakiwanufaishi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanunuzi wa pamba, wakulima kuingia mkataba

Kikundi cha wanunuzi na wachambuzi wa pamba (Kiwapa) wilayani Kwimba mkoani Mwanza kimeanzisha kilimo cha pamba kwa mkataba ili kuongeza tija kwa wakulima.

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isikilize kilio cha wakulima wa pamba

Juni 18 mwaka huu, Bodi ya Pamba (TCB) ilitangaza kuanza kwa msimu mpya wa uvunaji wa zao hilo, sambamba na kutangaza bei mpya kwa msimu wa mwaka 2014/15 kwa wakulima kutoka Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima waomba dawa ya kuua wadudu wanaoshambulia Pamba.

Na Salma Mrisho

Geita

 

Wakulima wa zao la Pamba mkoani Geita wameiomba Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa dawa ya kuua wadudu shambani kwa wakati kwani mazao yao yameanza kushambuliwa na wadudu na wana hofu ya kuharibikiwa zao hilo la pamba ambalo wamedai kuwa limestawi vizuri kwa msimu huu.

 

Waliongeza kuwa ni vyema pia ukaangaliwa utaratibu mpya wa ugawaji wa mbegu uende sambamba na ugawaji wa madawa ili kuondoa kero kama zinazowakumba kwa sasa.

 

Kilimo cha zao la Pamba ambacho...

 

10 years ago

StarTV

Serikali kutoa elimu kwa wakulima wadogo wa Pamba.

Na Gloria Matola,

Pwani Bagamoyo.

Serikali imejipanga kuendelea kuwaelimisha wakulima wadogo wadogo wa zao la pamba waliopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ili wafikie hatua ya kulifanya zao hilo kuwa la kibiashara zaidi ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na hali ya umasikini uliokithiri kwenye ukanda wa Mashariki.

Hayo yameelezwa kwenye ziara ya Bodi ya Pamba kwa kushirikiana na Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Pwani CORECU na TACOGA lengo likiwa ni kuwahamasisha wakulima wa zao hilo kurejea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani